Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 881
- 942
Nukuu: "mtangazaji kanipgia simu kuniuliza, Roma kwanini hatukuoni Ukiandamana au Ukikekemea Mtandaoni yanayoendelea Marekani Kama wafanyavyo wasanii wenzio was bongo?(Black lives matter).
Nikamjibuš Ninapokemea ya Tanzania siwaonagi Hao wasanii wakikemea Kama Mimi. So ni zamu yao now. KakataSimu, Y?"
Mimi: Roma ametoa majibu mazuri yenye swali chikonozi. Kwa asilimia kubwa inawezekana Roma ametumia lugha ya mficho na inawezekana kabisa hakuna mtangazaji aliyempigia simu ila kwa kuwa yeye n msanii na ana uwezo wa kutumia fasihi kufikisha ujumbe kwa hadhira Basi ujumbe umefika.
Nami nawauliza wanaJF,
Je, Ni kweli wakati Roma anakemea ya Tanzania huwa wasanii wengine hawakemei?