Sisi watu weusi tunaoishi Africa tunawaona wale weusi wanaoishi marekani na ulaya ni ndugu zetu lakini kwa bahati mbaya wao hawatuoni sisi km ni ndugu zao au wenzao wanatuchukulia km watu duni tena black wa marekani bora umuite nigga kuliko kumuita muafrika mtagombana,