PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
😂😂😂 Kajua kuwananga.
 
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?

Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule

Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
 
Mna watu kama hawa unatarajia nini?
IMG_20250527_141155.jpg
 
Back
Top Bottom