PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wamemaliza kila kitu. Yaani wale wabunge waliopo bunge la tz ukiwaweeka na jobless waliotola vyuoa miaka ya 2015 to 2020 ni utaona watakavyo potezewa
 
Najua jamaa ni msitaraabu sana ukilinganisha na aliyepita pale migori county,anasadia sana wamama wakitanzania wanaojitafutia katika county yake hasa wauza mchele matunda na hata wachimbaji wadogo wao waochimba upande wa migori wakitokea sirali na tarime ni jamaa poa sana.
 
Kwanza Tanzania siyo nchi masikini sasa hivi tupo uchumi wa kati kama wao tu. Hata ukiangalia hali ya taifa kiafya tupo vizuri kuliko wa Kenya. So waache dharau. Wametuchokoza wao wenyewe na bado wanaendelea kutubagaza huu ni wendawazimu kabisa. Sisi hatujawahi waingilia kwenye issue zao. Mbona wana kimbelembele sana. Fucken kabisaa
 
Kanyooka kama rula. Kapiga kwenye mshono aliowashona Gwaji boy. Tulihisi sisi tu wa ndani, ndiyo tunayaona haya. Kumbe na watu wa nje ya hapa wanayaona hayahaya. Kweli uanze kujibishana na mtu kama Msukuma, yale mashangingi mawili kama viboko yaliyokosea njia.
 
Huyu mbunge wa Kenya ameonesha uzalendo wa Hali ya juu kutusemea watanzania tunaojitambua.kasema ukweli kabisa bunge letu halina msaada kabisa hata kidogo.Nchi imevurugwa na utekaji lakini wabunge wetu uchwara ambao walipaswa kuiwanibisha serikali lakini wanatetea utekaji.Wakenya wako sahihi kabisa kujibizana na mbunge ambaye anajua kusoma na kuandika tu ni kujishusha hadhi
 
Ngoja tuwasubiri wajibu na wwnyewe ni vichekesho sana bunge letu
 
Umesoma mada we ngedere?
 
Hii Wisdom hata Nyerere hakuwa nayo.
 
Taarifa inakamilika Kama ina source.
Weka source

All in all wakenya wanaweza kutusaidia kuigomboa TZ. Tuwashike
 
Haya matatizo yote aliyaleta Mwendazake, Huko aliko Mungu amuongezee adhabu kali

Asingekuwa yeye kuharibu uchaguzi 2020 tusingepata wabunge vilaza na machawa wengi kiasi ambacho majirani wanaona watanzania wote ni wajinga
Upo sahii kabisa

Ila kumlaumu mwendazake pekee haitoshi pia lawama zimuendee huyu aliyepo alikua na muda mwingi wa kutosha kuyarekebisha haya na hii vita kaianzisha yeye kwa kutoka hadharani na kuwazungumzia wana harakati wa nje
 
Kweli Kenya Elimu Ipo
Juni 2 - 6, 2025 kuna mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Kilimo wa Afrika Mashariki (EAC Sectoral Council of Agriculture and Food Security; SCAFS) utakaofanyoka Arusha. Najaribu kuwaza deligates wa hizi nchi mbili (Tanzania na Kenya) sijui wataangalianaje baada ya wabunge wa Tanzania kuongea bila kutumia ubongo? Mkutano huu utafuatiwa na Full Council (Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Nchi wanachama), nao pia sijui wataangalianaje? Baada ya Full Council inakuja mkutano wa Heads of States; hapa pia sijui hawa Marais wataangalianaje?!
 
Ona mjinga mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ