Majibu ya swali/Chemsha bongo niliyotoa..

Majibu ya swali/Chemsha bongo niliyotoa..

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Mchana nilitoa swali hapa wengi walijaribu ila hawakupatia ilivyotakiwa.
Hivyo zawadi ya Gb za kuperuzi internet mwez mzima nabaki nazo mwenyewe.

Qn1:
Mwili wa binaadamu umeundwa kwa Atoms 7 Quadrions

Qn2:
The quick brown fox jumps over the lazy dog

Qn3:
=RAND()
Ukiandika hiyo formular hapo juu kwenye Ms Word yanatokea hayo maneno hayo.

Cc.
Preta definition URBAN MONKEY kyanaKyoMuhaya undertwentyboy BEYOND_LIMIT Mr Miller Paa Lucky Star baba swalehe MO11 Bwana kaduga Astelia The Hamer

Ahsante kwa kushiriki.
 
zawadi yangu ipo wapi.......?........maana nilipatia swali la pili..........
 
Duuh gb za mwezi zishanipita mkuu #Da'Vinci ukipata swali lingine tuletee
 
zawadi yangu ipo wapi.......?........maana nilipatia swali la pili..........
Ulijibu nusu. Nakumbuka niliwahi kujibu swali la phys.. ilikua law nikasahau neno moja nilikosa swali zima
 
Na mimi nna swal kwako da vinci ... Ukipata ... Nakununulia gb ya kutumia wewe na kijiji chenu mpaka kufa
 
Back
Top Bottom