Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Hahaha ndugu just wait. ....hapo selection ni mpaka kwenye tarehe kumi na hivi sio mapema hivi
 
unahamu ya kwenda kupiga msuli? Aisee hata sipatamani chuo m2 angu bado cjamake money zakutosha maana loan board lazima wa2lize anyway udsm 2nd 3rd,,n so on watafungua tar 4oct kwaio 1st yr ni tar za 20+ ucjal watatoa soon!
 
Jamani huu mtandao wao wa tcu(CAS),mbovu au? maana mpaka xaxa mambo vile vile..au ndo imesha kula kwe2..jamani wakubwa ushauri wenu ..na hata wahanga wenzangu jamani ndo mambo gani haya?

Ukiona Hivyo Umekosa Sifa Na Hukopesheki Hivyo Usipoteze Muda Wako!
 
Ujue hadi hapo umetupwa nje jiandae kuaply mwakani mkuu.
 
Ujue hadi hapo umetupwa nje jiandae kuaply mwakani mkuu.

ametupwa nje kivipi?tcu wametoa majina wewe vipi,tcu haiachi mtu hapa labda uwe na four.dedline leo tar 6.9.2014,selection bado vuta subira baada ya wiki mbili hadi tatu,jumatatu wanaanza kazi ya kucheck rasm.
 
dah, mna mizuka, post hazitoki kirahisi ivo , kwanza watatoa majina ya waliokosa vyuo kutokana na sababu fulani then watapewa chance ya ku apply upya hapo huwa panakuwa ni shidah usiombe ya kukute coz ni kama gombania goli huwa wanai ita kama "FIRST COME FIRST SERVE" xaxa baada ya hapo ndo kila chuo kina achia majina ya wa2 wake kivyake! xaxa msiwe na mizuka xana coz bado tcu hawajaanza mamb yao mbn mtakubali wa kulia wapo wengi 2 !!!!!!
 
Tunapandishana pressure tu Mara wengine wanasema washatoa majina dah huu mwaka kazi ipo
 
.Wewe wa wapii?? kwani umesikia 2nazungumzia isue ya heslb hapa?? soma kwanza topic..sio unakurupuka tuu.hapa we talk abt tcu.we vp? shame on u

Ukiona Mpaka Umehamaki Hivi Ujue Ujumbe Umefika Kunako. Unaweza Kupata Mkopo Bila Kwanza Kujua TCU Kumekaaje? au Unataka Kuvunga Kuwa Wewe au Nduguyo au Mwanao Hajaomba Mkopo? Kwa Wenye Akili Wamenielewa Ila Kwa POPOMA Kama Wewe Mtachukua Muda Mno Kunielewa. Na Jina Halitoki Ng'o!!!!!!!!!!!
 
ivi wale ambao selection zao zimetoka na wamepangwa ktk vyuo vya korogwe na kleruu waliomba kwa njia gan? Naomba watiririke hapa ili wengine tuanze kucheck issue zingine!
 


mambo vipi alex e(inawakilisha ur sirname)...bado unafanya field tanesco power plant!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…