Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Poa baaabu maana hawa jamaa wana2pa tumbo joto.Hahaha ndugu just wait. ....hapo selection ni mpaka kwenye tarehe kumi na hivi sio mapema hivi
Jamani huu mtandao wao wa tcu(CAS),mbovu au? maana mpaka xaxa mambo vile vile..au ndo imesha kula kwe2..jamani wakubwa ushauri wenu ..na hata wahanga wenzangu jamani ndo mambo gani haya?
Ujue hadi hapo umetupwa nje jiandae kuaply mwakani mkuu.
.Wewe wa wapii?? kwani umesikia 2nazungumzia isue ya heslb hapa?? soma kwanza topic..sio unakurupuka tuu.hapa we talk abt tcu.we vp? shame on uUkiona Hivyo Umekosa Sifa Na Hukopesheki Hivyo Usipoteze Muda Wako!
.Hahahaa uta apply ww mwakani au wadogo zako..hii isue sio kwangu tuu ni kwa wa2 wengi sana 2lio apply, nadhani kuna maji2 mingne hakili ovyoo kabisaa.Ujue hadi hapo umetupwa nje jiandae kuaply mwakani mkuu.
dah, mna mizuka, post hazitoki kirahisi ivo , kwanza watatoa majina ya waliokosa vyuo kutokana na sababu.Poa nimekupata ila hawa jamaa washa tuweka roho juu sana, mwaka jana wenze2 mida kama hii mambo yalikuwa kweupe!!!
dah, mna mizuka, post hazitoki kirahisi ivo , kwanza watatoa majina ya waliokosa vyuo kutokana na sababu.Poa nimekupata ila hawa jamaa washa tuweka roho juu sana, mwaka jana wenze2 mida kama hii mambo yalikuwa kweupe!!!
sema wamechelewa ila msiwaze leo c ndo deadline yenyew
Tunapandishana pressure tu Mara wengine wanasema washatoa majina .Usikonde mwana mambo bado mwana ..mm washkaji zangu kbaoo wana sema mambo yapo vle vle..so kwenye tar10 na kuendelea mambo yatakuwa frx.
.Wewe wa wapii?? kwani umesikia 2nazungumzia isue ya heslb hapa?? soma kwanza topic..sio unakurupuka tuu.hapa we talk abt tcu.we vp? shame on u
dah, mna mizuka, post hazitoki kirahisi ivo , kwanza watatoa majina ya waliokosa vyuo kutokana na sababu fulani then watapewa chance ya ku apply upya hapo huwa panakuwa ni shidah usiombe ya kukute coz ni kama gombania goli huwa wanai ita kama "FIRST COME FIRST SERVE" xaxa baada ya hapo ndo kila chuo kina achia majina ya wa2 wake kivyake! xaxa msiwe na mizuka xana coz bado tcu hawajaanza mamb yao mbn mtakubali wa kulia wapo wengi 2 !!!!!!