Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Majibu ya TCU bado hayajatoka?

unaangaliaje mkuu mana eti mimi selection program kwangu siioni na wanadai eti sijafanya application na wamenpa eti second round application
 
eti mimi selection program kwangu siioni na wanadai eti sijafanya application na wamenpa eti second round application
 
Kuna majina wa2 wameyaweka humuhumu jf aiseee ata sielew Hwn
 
Last edited by a moderator:
tutumie basi kaka mana m account yangu inanambia eti sijafanya apllication na niapply second round
 
Back
Top Bottom