Majibu ya TCU bado hayajatoka?

tutumie basi kaka mana m account yangu inanambia eti sijafanya apllication na niapply second round

kaka mbona mm acaunt yangu nimeangalia muda huu ipo kama zaman tu.wewe wamekuandikia hujaapply urudie tena mbona sielewi
 
dah mimi link ya selection program haionekan kaka af wanadai sijafanya application na wamenipa eti second application
 
Inawezekana ni kweli aisee, niko nawaangalizia watu hapa mengine yanaandika not approved na wanapewa option ya kuapply tena..
 
Bado bana......stop fooling around for the sensitive case like this....Unajua watu wangapi wapo attention na swala la TCU halafu wewe una joke?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Where is your logic?? Kuudanganya umma kwa kutoa taarifa za uwongo?? Kuwa mkubwa basi jamaaa arrrrgh mnaboa
 
achani kudanganyika na haraka.Tcu wakitoa watatangaza Redion,..hawa wengine wanatafuta umarufu
 
hawa ni wale watoto wanaopenda post zao zichangiwe na watu weng
ndio maana wanaamua kudanganya ili watu 2coment
n ujinga
 
Kuna dogo wangu nilimuombea vyuo ila sasa hiv nikiingia kwenye profile yake wanasema not applied, so nifanyeje au ndo hivyo amekosa nafasi kwenye hivyo vyuo nilivyomuombea
 
msipeane presha wadogo tupo na wahusika humu jukwaan xo wakitoa 2 tcu mara moja mtapewa taarifa vs source ya information
 
>>dah hta mimi nimeambiwa cjafanya selection ila tear imeshakaa sawa,nahis walikua wanarekebisha mambo tu.
>>pia wameweka SECOND ROUND SELECTION,sas kwa wenyekujua watuelekeze kuhusu hii,kma tunatakiwa kuomba or not!

Na mim nimeambiwa hivyohivyo sijui nifanyeje
 
dah mimi link ya selection program haionekan kaka af wanadai sijafanya application na wamenipa eti second application

Bila shaka umetemwa kwenye competition so jiandae kuapply upya kwa kujaza vyuo utakavyoorodheshewa. Huo ni utaratibu wa miaka yote.
 
Kawaida kuna 2nd application na 3rd application. So ni kawaida tu hayo mambo hasa kwa wale wenye points ndogo af wakajaza vyuo vikubwa, competition ikiwatema huwa profile zao zinaonesha wafanye 2nd application kwa kujaza chuo kimoja tu chenye available slots.
 
second round bado hawajaifungua.. itafunguliwa very soon
 
mbona hata wenye point nzur wameambiwa hivyo. so sio wale wenye point ndogo tu.
na je hiyo 2nd round inabid ubadili vyuo au unafanyaj
msaada jmn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…