Majibu ya TCU bado hayajatoka?

jaman niliingia kweny prof yangu nikaambiwa you have not done application
ila baada ya dk km 20 hv nikafungua tena.
kweny selected status kuna not yet processed
na Met min requirement kuna PROCESSED.
Inanchanganya ndo nn.
na wale wenzangu mloambiwa hivyo jarbuni tena kuingia kweny profile zenu.
 

hata nami nimeona PROCESSED!!. hawa TCU kila mwaka wanabadili misamiati bila kutoa ufafanuzi mwaka jana walikuwa na ELIGIBLE!!

wataalam watudadavulie.

huenda sijui wana maana wamesha cheki sifa - sasa je zinakubalika au hazikubaliki?? TCU pls wake up!!
 

hapo ndo sielew ndg yangu.
ila mm sasa hv kwenye selection status wameweka IN PROGRESS
 
Kutokana na vyanzo vyangu vya taarifa ni kuwa uchaguzi umeshafanyika. Lini matokeo yatatoka rasmi ni wakati wowote kuanzia kesho.
 
hapo ndo sielew ndg yangu.
ila mm sasa hv kwenye selection status wameweka IN PROGRESS

Ni sawa Selection iko kwenye progress. kumbe pale kwenye neno PROCESSED ukiweka pointer pana maneno yanaashiria bado hawajaamua kama tuna qualify au la zaidi ya kwamba wameshaziangalia.

kuna maneno haya: "System is checking your application to verify whether you are qualifying for this Program or not. Please come back later to view the status of this Program"
 
Yap system still checking inanaoneka huend pakawa na neno yes or no yes kwa uliopata na no kwa amabayo hutapata let wait and see
 
Kuna washkaji wengne humu ..tunapotoshana..et majina, wakati tcu ndo kwanza wanaanza ku prossese..haya twambie majina hayo kakupa nani? au weka link basi.
 
Ukiingia kwny profile yako cheki juu pale kwenye selection status utakuta 'approved' na sio 'processed'
 
Ukikuta approved tayari ushapangiwa chuo Xo subirini official date 22/9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…