Yes ndivyo ilivyo so hiyo ni dalili kwamba majibu au aellection zitafanyika mapema mwezi wa tisa
Tuwe wapole my fellow applicant
j3 uki login utakutana na neno yes kama umekidh viwanga au no kama hukukidh viwango..hayo maneno yatakuwa hapo kwenye hayo maneno checking in progress
j3 una maana ya juma tatu au ni jina la mtu mkuu
Shukran mkuu kwa ufafanuzij3 uki login utakutana na neno yes kama umekidh viwanga au no kama hukukidh viwango..hayo maneno yatakuwa hapo kwenye hayo maneno checking in progress
j3 uki login utakutana na neno yes kama umekidh viwanga au no kama hukukidh viwango..hayo maneno yatakuwa hapo kwenye hayo maneno checking in progress
j3 uki login utakutana na neno yes kama umekidh viwanga au no kama hukukidh viwango..hayo maneno yatakuwa hapo kwenye hayo maneno checking in progress
Thankx xanaa mara ya kwanza nilijaza code ya imtu ikakubari nikatoa bt cku nyingne nilivyo weka tena ikaniandikia code co sahihi nihakikishe tena hadi leo inaandka hvyo so tatizo n nn