Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Nyie mnaongelea ayo wakati wengine account zetu zimegoma hata kufunguka...password na username vilevile but inakwambia log in failed toka juzi....
 
Jamani, nili apply tcu mapema sana mwezi huu wa8, ila mpaka sasa niki ingia kwenye akaunti ..naambiwa not aproved, na niki ingia my prfile kwenye coz ,ina sema check in progress..pia not yet prossesed..ushauri wadau jamani kwani tme imeishaa!!

Muda wa mwisho (deadline) bado hadi tarehe 31/9/2014. Ikifika muda huu watafunga applications then ndio system itaanza kufanya kazi ya upembuzi wa applications zako ulizochagua.
Ikishamaliza ndio itaondoa "Checking in progress" na kukuwekea either "qualify for minimum requirements or not"
Na ukishachaguliwa itakuandikia "Selected or Approved".
So just wait 2wks after the deadline dates.
 
31/9/2014 mkuu unasema aje????
 
Eti kaka kuna koz nimejaza TCU zinaonesha loan possible ni zero, mfano
bachelor of education with ICT . UDOM
computer science UDSM
computer science UDOM

Inamana nikichaguliwa hzo koz ctopata mkopo au vp??
 
Kuna fucult nimeomba TCU chaajabu zinaonesha loan possible ni zero eg
Bachelor of education with ICT. UDOM
computer science UDOM
computer science UDSM

Inamana nikichaguliwa koz hzo ctopewa mkopo au??
 
Nyie mnaongelea ayo wakati wengine account zetu zimegoma hata kufunguka...password na username vilevile but inakwambia log in failed toka juzi....

pole. hakikisha password unaikumbuka aidha kama ulijaza mwenyewe au mtu aliekujazia. wengi huwa wanaweka password 123456 kwa wepesi wa kukumbuka ingawaje ni hatari mtu akibahatisha akaingia kwenye akaunti yako akakuharibia. pia possibility ipo kama kuna mtu alikuwa anaijua password yako akaingia akaibadili - iwe kwa mazuri au mabaya.

all in all kuna provision ya kubadili password unaposhindwa ku log in. ikishindikana kabisa wasiliana nao. watakutumia password kupitia email address yako - nako ni muhimu ukakumbuka address na password yako.

Nina imani TCU wanaweza ongeza kamuda kusawazisha majambo na kuwapa kamuda wachelewaji - let us hope so
 
Nmewapigia wanasema eti wamefanya ivo kwa sababu ya usumbufu wa applicants kubadilishabadilisha courses coz nao juzi ndo walianza verification..ila baada ya muda itakua fresh...Sema nashukuru wakuu.
 
Eti ukiona TCU wameandika hivi 0 eligible au 9 eligible au 1 eligible ile sehemu ya idadi ya watu wanamanisha nini?

bila shaka uliingia selected programs status na kupeleka cursor column ya Code na kwenye mojawapo ya Codes zako 5 au 3 ukapata maandishi haya "The capacity available for this program (eg UD012) is 1170. Up to now 8178 have applied. Up to now ............... whreas 6 are eligible and 2 who are eligible for this program have selected the program as their first choice"

hii bila shaka sio wamekuandikia bali nikukuonyesha how competitive program is. ni information inayosaidia bila shaka kujipima.

usitishike selection ndo msema kweli
 
Ndugu wanajamvi kunakijana yupo JKT na alifungua account TCU vizuri kwenye internet cafe moja hivi!

Kwakuwa alikuwa hajui vizuri mambo yamtandao, alifunguliwa page yake vizuri na kuchagua coz anazozitaka chakushangaza huyu muhudumu hakusave coz alizochagua kwahiyo pale kwenye coz alizochagua pako empty (kwamujibu wawenzake walivyokuta).

Hivi jana wenzake walimwambia hilo tatizo baada ya wao kugundua mapema coz yeye simu alikuwa hatujapewa ,
ikambidi na yeye aanze kufungua page yake ili ajaze akakuta tena huyu muhudumu kakosea na namba za siri je hatafanyaje na tupo naye JKT

Please tumsaidie mwenzetu!
 
Anatakiwa awe na
Form four index number
Phone number aliyoandika
Vocher number aliyotumia
Email address aliyotumia
Then aende akalog in ikifeli abonyeze login problem? Ambayo iko kwa chini ya vile vibox vya kulog in ataletewa form ya kuingiza hayo maeleI kisha watamtumia mpango mzima kwa simu yake ya mkononi. Juzi mshikaji kasaidiwa hivy yeye alisahau password
 
tatizo anasema ile kadi kaipoteza haioni
 
asubli maana mda utaongezwa halafu awasiliane na tcu watamsaidia asihofu sn
 
Back
Top Bottom