Yeah website haifunguki. Aisee so muda wowote tu mambo yanaiva..
Tobaaaaaaa mayoooo wewee yan kuckia iyo taarifa kila kiungo kikavibrate yaaan awa tcu embu waache kutupa hii suspence jmn
lazma majina ya waliokosea yatoke mapema ili walekebishe ili selection zije zitoke kwa pamoja.inaweza kuwa kweli kama mnavyojua muda umeisha na baadhi ya vyuo viko mbion kufunguliwa katikat mwa mwez huu na mwanzon mwa mwezi ujao
Ila majina si lazima yapitishwe kwenye CAS ya Tcu ndo then kwenye vyuo husika
wadau yangu bado inaandika "check in progress" je iko vizuri au kuna shida?
Acheni kiwewe nyie Posts zinatolewa badae,