Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Yeah website haifunguki. Aisee so muda wowote tu mambo yanaiva..
 
Tobaaaaaaa mayoooo wewee yan kuckia iyo taarifa kila kiungo kikavibrate yaaan awa tcu embu waache kutupa hii suspence jmn
 
Tobaaaaaaa mayoooo wewee yan kuckia iyo taarifa kila kiungo kikavibrate yaaan awa tcu embu waache kutupa hii suspence jmn

Haha keep it cool tuhesabu siku kadhaa mambo yatakuwa out don't panic😀😀
 
website imefungwa haifunguki inaelekea taarifa zina ukweli.......ila itabidi tuendelee kusubiri kwa wale wenzangu na mimi
 
lazma majina ya waliokosea yatoke mapema ili walekebishe ili selection zije zitoke kwa pamoja.inaweza kuwa kweli kama mnavyojua muda umeisha na baadhi ya vyuo viko mbion kufunguliwa katikat mwa mwez huu na mwanzon mwa mwezi ujao

hakuna error the tcu system is so automatic,ila kwa wale waliokosa plot kwenye zile 5 choices watafutiwa zile 5 selected programmes na watatakiwa kuchagua koz moja tu kati ya zile zilizobaki na hautasumbuka kuzitafuta kwa kila mwenye profile ya tcu ataziona
 
Ila majina si lazima yapitishwe kwenye CAS ya Tcu ndo then kwenye vyuo husika

sio kweli hata mwaka jana kuna baadhi ya vyuo vilitoa majina kabla ya majina yote ya tcu
 
Mm mwenyewe inandika checking in progress en website yao inafunguka vizuru tuuu so kama kuna mtu kasoma hiyo annousment atu hakikishiee o kuna mpuuzi mmja kaiandika ikasambaaa
 
Punguzeni presha cz kama una div1,dv2 na dv3 kupata chuo ni lazima sio ombi ila kama una div4 wasiwasi lazima bt nayo pia haisumbui nakumbuka mshkaji wangu alikua na 4 akapata st augustine mtwara ss ivi mwalimu nae ana portion yake ktk national cake.
 
Punguzeni presha cz kama una div1,dv2 na dv3 kupata chuo ni lazima sio ombi ila kama una div4 wasiwasi lazima bt nayo pia haisumbui nakumbuka 2010mshkaji wangu alikua na 4.14 akapata st augustine mtwara ss ivi mwalimu nae ana portion yake ktk national cake na mwingine alikua na 4.15 akapata tia ya dar.
 
Tz technology sjui ndo bado maana km tangazo hlo ni sahihi why page ya tcu haifunguki,means processing ikifanyika page wanafunga?maana km wanatoa inform.. Km hizo kwanini wasiaccess page watz wajiridhishe?,any way wahanga wa vyuo lazima kuwa wavumilivu.
 
imefungwa wapi mbona me nafungua now kama kawaida not aproved
 
Back
Top Bottom