fortunate_goustone
Senior Member
- May 5, 2013
- 113
- 26
Mkuu tupe uthibitisho coz profile nyingi hazijwa processed so unAtuhakikishia vp
mwaka juzi na hata mwaka jana watu walipata post za vyuo angali akaunti zao zilionekana 'NOT APPROVED'- msiangalie sana hzo akaunti zenu, fuatilieni majina yenu kwenye tovuti za vyuo mlivyoomba! Kauli mbiu siku zote huwa; VYUO KWANZA, TCU BAADAYE!
nimependa sana mkuu ulivyosema ukweli kwasababu mtu akijisikia anaweka tu tcu mara ooh mara hii,nyie watu mnaotuma mambo kuhusiana na tcu ebu jaribuni kua makini na taarifa zenu maana si kwakua ni wanafunzi bado muhisi huu mtandao wa jf kuna watoto wenzenu.. au mnataka kuweka posts mradi tu ujione utapata reply ngapi au itakua viewed mara ngapi?Humu kuna watu wenye akili zao timamu na wengine unaweza kuta ni wafanya kazi wa tcu ila wananyamaza tu.Katika utaratibu wa kiofisi, mtu hawezi kutoa taarifa "mikocheni garden" kama mmoja wa mtu alivosema eti ndo source yake, hivyo wadogo zangu nawashauri kua si vyema kupost mambo yasiyo na ukweli kwa mwamvuli wa swala msingi.
kama limewauma na yawaume lakini ukweli uwafikie.
MUNGU AWABARIKI NA AWAOKOE NA SHETANI HUYO WA UONGO.
Nakubaliana na wewe my sister yupo KCMC ila account not approved ila jina lilikuwa KCMC na mpaka sasa anasoma
Watoto wana moto na chuo hao
Aisee hapo ni kuwaza boom then kununua simu kali na sub woofer. Hataree
Dada yako aliomba kupitia KCMC moja kwa moja au aliomba kupitia TCU?
Jaman nimejaribu kuomba kozi moja inahitaji watu 20 so nkiweka mouse pointer kwenye code ya kozi panasomeka " the capacity available for this program (UD061) is 20. Up to now 1036 applicants have applied . Where as 990 are eligible and 226 who are eligible for this program have selected it as their first choice"