Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Mkuu tupe uthibitisho coz profile nyingi hazijwa processed so unAtuhakikishia vp

mwaka juzi na hata mwaka jana watu walipata post za vyuo angali akaunti zao zilionekana 'NOT APPROVED'- msiangalie sana hzo akaunti zenu, fuatilieni majina yenu kwenye tovuti za vyuo mlivyoomba! Kauli mbiu siku zote huwa; VYUO KWANZA, TCU BAADAYE!
 
Nakubaliana na wewe my sister yupo KCMC ila account not approved ila jina lilikuwa KCMC na mpaka sasa anasoma
 
nyie watu mnaotuma mambo kuhusiana na tcu ebu jaribuni kua makini na taarifa zenu maana si kwakua ni wanafunzi bado muhisi huu mtandao wa jf kuna watoto wenzenu.. au mnataka kuweka posts mradi tu ujione utapata reply ngapi au itakua viewed mara ngapi?Humu kuna watu wenye akili zao timamu na wengine unaweza kuta ni wafanya kazi wa tcu ila wananyamaza tu.Katika utaratibu wa kiofisi, mtu hawezi kutoa taarifa "mikocheni garden" kama mmoja wa mtu alivosema eti ndo source yake, hivyo wadogo zangu nawashauri kua si vyema kupost mambo yasiyo na ukweli kwa mwamvuli wa swala msingi.
kama limewauma na yawaume lakini ukweli uwafikie.
MUNGU AWABARIKI NA AWAOKOE NA SHETANI HUYO WA UONGO.
 
nimependa sana mkuu ulivyosema ukweli kwasababu mtu akijisikia anaweka tu tcu mara ooh mara hii,
niupuuzi mkubwa wanaoandika coz na amini jf ni sehemu nzuri tupatazo taharifa sahii kuhusiana na maswala ya elimu hasa kwenye jukwaa hili so anapookota maneno nakuleta humu hatujengi hasa sisi tuliokuwa jkt tukitaka taharifa sahihi humu..!!
 
Kwann tunahngaika na hili swala akati kuna wanachuo walio pitia njia ya TCU na wanajua A-Z wao walipataje majibu na mambo ilikuwajeee???? Process nzima wanaijua plzzzzz ajitokeze mmja atuambie mwanzo mwisho na co mtu anakuja mm cjui nan alifanya hv hatutaki tunataka muhusika mwenyew aseme ye ilikuaje na alipitia TCU kama mda uliongezwa ye aseme plzzzzzz mmja atwambie alie chuo
 
Jaman nimejaribu kuomba kozi moja inahitaji watu 20 so nkiweka mouse pointer kwenye code ya kozi panasomeka " the capacity available for this program (UD061) is 20. Up to now 1036 applicants have applied . Where as 990 are eligible and 226 who are eligible for this program have selected it as their first choice"
 
Maana yake kuwa ni watu 46 tu ndo hawajawa approvwd kwenye iyo kozi sasa tutulie nafkir ndan ya siku mbili tutajijua nn tumepata
 
Jaman nimejaribu kuomba kozi moja inahitaji watu 20 so nkiweka mouse pointer kwenye code ya kozi panasomeka " the capacity available for this program (UD061) is 20. Up to now 1036 applicants have applied . Where as 990 are eligible and 226 who are eligible for this program have selected it as their first choice"

Kitu cha mafuta hiki.
 
Jamani huu mtandao wao wa tcu(CAS),mbovu au? maana mpaka xaxa mambo vile vile..au ndo imesha kula kwe2..jamani wakubwa ushauri wenu ..na hata wahanga wenzangu jamani ndo mambo gani haya?
 
Back
Top Bottom