Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Yeah kweli inafunguka ila kama my account still not proved.
 
mwenye utaalamu atuwekee hapa nyenzo zake za kuyapata hayo majina.

Mm kuna wazazi wa watoto huko Ukerewe wameniambia kuwa yameshatoka kuaanzia asubuji sasa nataffuta kupitia http://www.tcu.go.tz/
sijaambulia lolote
ni kweli nimeamini hayajatoka
 
Ndio maana hizi zinaitwa tetesi ni uwongo mtupi niko net hapa hamna dalili yoyote wala tangazo lolote kutoka tcu kwa hiyo wenye tumbo joto kama mm tuendelee kuvuta subira tetesi kama hizi ni umbeya tu sawa jamani!!
 
Saaaafi mkuu tangazo la kuongez muda,tangazo la nn vyote ni uwongo c ndio ujue watu wana pressure za kijinga kichz thankx kak kwa tarfa
 
bado hata mda wa application hujaisha mnataka majibu nyie majuha kweli tcu wamewapa namba za cm na email ili muwasiliane nao c kusikiliza na kusambaza umbea
 
Back
Top Bottom