Majibu ya TCU, NACTE and HESLB

Majibu ya TCU, NACTE and HESLB

NYONGEZA: kama umechaguliwa UDOM andaa kabisa Tsh. 287000 ya direct costs maana bila hyo unakuwa hausajiliwi na unaweza kukosa chuo ama kughairisha masomo.

yani kumbe kuna people hata uchumi wa laki 5 kwa mwaka home unazingua?
 
Habar wana jf,msaada tafadhal kwa aliye na ufaham khusu chuo cha st.joseph cha dar direct cost ina range sh ngap???
 
Wewe unasema tar 22.9 hiyo taarifa ya tcu au?
 
Taarifa iliyotolewa na NACTE katika ukurasa wao wa facebook mda huu, inasema kuwa kikao cha joint admision kimekaa na kukamilika leo hii. Katika taarifa hiyo wamesema kuwa kazi ya kutoa majina itafanywa na TCU kwa lengo la kuepusha mkanganyiko na hivyo tcu inategemea kutoa majina hayo baada ya kukamilisha zoezi la kuondoa MULTIPLE SELECTION ya watu 2000 iliyojitokeza .
 
Mpaka sasa hawajatoa selection wakati vyuo inatakiwa viwe vinakaribia kufunguliwa?? Hawa jamaa hawapo siriaz kabisa.
 
Back
Top Bottom