Baba Genovivah
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 756
- 249
NYONGEZA: kama umechaguliwa UDOM andaa kabisa Tsh. 287000 ya direct costs maana bila hyo unakuwa hausajiliwi na unaweza kukosa chuo ama kughairisha masomo.
yani kumbe kuna people hata uchumi wa laki 5 kwa mwaka home unazingua?
Taarifa iliyotolewa na NACTE katika ukurasa wao wa facebook mda huu, inasema kuwa kikao cha joint admision kimekaa na kukamilika leo hii. Katika taarifa hiyo wamesema kuwa kazi ya kutoa majina itafanywa na TCU kwa lengo la kuepusha mkanganyiko na hivyo tcu inategemea kutoa majina hayo baada ya kukamilisha zoezi la kuondoa MULTIPLE SELECTION ya watu 2000 iliyojitokeza .