Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Wakuu,
Kutokana na majibu ya uchunguzi wa kesi ya binti aliyelawitiwa na kubakwa kikatili kutolewa leo ni wazi kabsa kwamba hapa hakuna kesi wala hakuna atakaye fungwa kwa kesi hii
Wanaweza kutolewa wahuni mahabusu wakafunikwa na vitenge vichwani tukaambiwa ndo hawa tumewakamata
Inaumiza sana lakini ndo hvo survival for the fittest
Anko angekuepo haki iketendeka sawasawa na inavotakiwa
Naamini wengi wetu tumeumizwa sana na majibu marahisi yaliyotolewa lakini hatuna budi kunyanyuka kujikung'uta vumbi na kuchanganya mbaliga zetu kurudi makwetu huku tumeinamisha vichwa vyetu kwa majonzi na masikitiko
Kwakua binadamu ameshindwa kutoa haki basi tumuachie Mungu