Majibu ya usaili utumishi wa Mahakama

Joined
Jun 13, 2024
Posts
8
Reaction score
7
Habari wana JF, jana kulifanyika usaili wa Mchujo kwa kada mbalimbali za Utumishi wa Mahakama. Mwenye ufahamu jinsi ya kujua kama umechaguliwa juu kwenye Oral maana naona kimya halafu sielewi taarifa nizipate wapi.
 
Kuna harufu ya in fair marking.mpaka Leo kweli?
 
Habari wana JF, jana kulifanyika usaili wa Mchujo kwa kada mbalimbali za Utumishi wa Mahakama. Mwenye ufahamu jinsi ya kujua kama umechaguliwa juu kwenye Oral maana naona kimya halafu sielewi taarifa nizipate wapi.
Watu wao walishaitwa oral cku nyingi
Sahauni izo ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…