malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Mssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha
kichwa au kuinua.
kichwa au kuinua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivip mkuuAcha kupoteza hela kwenye makarasi waliochora wazungu...................
NENDA KWA MWAMPOSA
Mkuu si umetoka hospitali na Daktari aliyekuagiza kipimo hicho si alikwambia majibu?Mssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha
kichwa au kuinua.
Bado daktar kaondoka mda huu kabla hajanisomea majibu nahata kuwepo kwa wiki mbiliMkuu si umetoka hospitali na Daktari aliyekuagiza kipimo hicho si alikwambia majibu?
Heee sasa kipimo upime leo upate majibu baada ya wiki mbili? Ndio huduma gani sasa hizo.Bado daktar kaondoka mda huu kabla hajanisomea majibu nahata kuwepo kwa wiki mbili
karatasi haisomeki kichwa chin miguu juuMssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha
kichwa au kuinua.
Peleka kwa daktari mwingine, kwani hospitali ina daktari mmoja?Heee sasa kipimo upime leo upate majibu baada ya wiki mbili? Ndio huduma gani sasa hizo.
Sisi mitishamba majibu ni hapo hapo.
Sema huduma zetu hamziamini
Hiya hapakaratasi haisomeki kichwa chin miguu juu
Tiba yake ni ninElectrocardiogram (ECG) report.
------------------------------------------------------------------------------------------------------
- Sinus rhythm with PVCs (Premature Ventricular Contractions): There are irregular early heartbeats originating from the ventricles.
- Left Ventricular Hypertrophy by voltage criteria: Suggests thickening of the heart's left ventricle, often due to high blood pressure or other cardiac conditions.
- Anterolateral ST elevation: Indicates possible acute myocardial infarction (heart attack) affecting the front and side walls of the heart.
Kwa kifupi inawezekana Mishipi ya damu (Coronary Arteries) inayolisha Kuta za Moyo wenyewe zina blockage...
Kwanza wanaweza kukupima damu kuangalia Troponin Levels ili ku-confirm kama kuna shida kwenye misuli ya moyo kweli.Tiba yake ni nin
Maana napata maumivu makali sana upande wakushoto nyuma ya bega chini kabisa usawa wa moyoKwanza wanaweza kukupima damu kuangalia Troponin Levels ili ku-confirm kama kuna shida kwenye misuli ya moyo kweli.
Au kuna kipimo cha CT Coronary Angiography au MRI.
---------------------------------------------------------------------
Kwasasa utapewa dawa wa kufanya damu isigande na itakayofanya mzunguko uendelee kuwepo..
Hii ECG haiko sawa. Na sio kwa sababu yako. Tatizo ni huyo aliepiga picha. Inabidi irudiwe upya. Dokta atakaetafsiri ECG hii nae atakua anashida.Mssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha
kichwa au kuinua.
Majibu doctor kabla ya safar kanipigia sm nimerud kanisomea majibu anasema hakuna shida nimeshangaa..wakat minamaumivu makali nyuma ya mgongo usawa wa moyoKwanza wanaweza kukupima damu kuangalia Troponin Levels ili ku-confirm kama kuna shida kwenye misuli ya moyo kweli.
Au kuna kipimo cha CT Coronary Angiography au MRI.
---------------------------------------------------------------------
Kwasasa utapewa dawa wa kufanya damu isigande na itakayofanya mzunguko uendelee kuwepo..
pole sanaMaana napata maumivu makali sana upande wakushoto nyuma ya bega chini kabisa usawa wa moyo
kunywa na ant acidMajibu doctor kabla ya safar kanipigia sm nimerud kanisomea majibu anasema hakuna shida nimeshangaa..wakat minamaumivu makali nyuma ya mgongo usawa wa moyo