Majibu ya Watanzania baada ya kuulizwa "upi umuhimu wa kupiga kura yanasikitisha?"

Majibu ya Watanzania baada ya kuulizwa "upi umuhimu wa kupiga kura yanasikitisha?"

Wananchi tumeshaamua safari ya Oct 2025 No reform No election
 

Attachments

  • Je,vijana wanasemaje kuhusu uchaguzi TZ_.mp4
    7.8 MB
  • NEC yajibu madai ya kukamatwa kwa karatasi feki za kupigia kura.mp4
    4.4 MB
Wanasiasa wa bongo waongo sanaaa nawachukia mnooo

Hata wanaoshabikia siasa siwapendi

Sipendi siasa ya Bongo
 
Ila natoa angalizo, hawa wa mitandao siyo wa kujiridhisha saaana na majibu yao kwani ni kakujdi flani kadogo tu.......tena wakati mwingine kanakiwa kamepangwa
 
Back
Top Bottom