Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama kwenye phonebook yako umejaza watoto unategemea nini.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya watoto na vitoto. Najua wewe ni jiniaz umenielewaSasa kama kwenye phonebook yako umejaza watoto unategemea nini.
Nimekuelewa, watoto kama Kapeace, Manengelo ila Vitoto kama Zero IQ, Ndege John n.kKuna tofauti kubwa sana kati ya watoto na vitoto. Najua wewe ni jiniaz umenielewa
Wa2 tk na manbo mng ha2na mda wa kucht cht ,hy n njia y2 ya kkjlxha 2k bz! Damn nimejaribu mimi mwenyewe naona shidaUnamsalimia Mtu vizuri kabisa unaanmwandikia
mimi : mambo
yeye: p😡😡😡
Aseee wananiboaga watu wa dizaini hiii ki ukweli natamani hata Namimi sku ingine badala ya kumwandikia mambo nimwandikie "M"
Au unachat na mtu vizuri ila kwenye sentensi zake unakuta anaandika vifupi vifupi vya ajabu na kunchanganyia herufi MFANO:
mimi: vipi sasa ile ishu mkuu?
yeye: xijaonn na yle m2,xma kexho ntamchk😡😡😡😡
mimi : kwa hiyo tunafanyaje?
yeye : 2kutane pleple xema leo uxchlewe😡😡😡😡
Mijitu ya namna hiii ki ukweli inaniboaga mimi basi tu, na wale wengine wazeee wa kujua kuto value heshima wanayopewa,unaweza ukakuta unachat na mtu vizuri mwanzo mwisho,inaweza kuwa ni asubuhi/mchana/usiku,ila kwa mtu yeyote smart/anaejielewa anaechat na mtu lazima msg iwe na salamu,lengo,kuagana.
huwezi kuanza kuchat na mtu tu kisa una namba yake uende direct kwenye lengo,hiyo haileti picha nzuri lazima utamsalimia kidogo then story mbli tatu kisha lengo..na mwsho kuagana...Hapa kwenye kuagana yawezekana n Mchana unachat na mtu.
mimi : ndugu mambo vipi?
yeye😛oa tu mkuu,habari za huko?
mimi: huku sio mbaya,nilikua nakusalimia tu ndugu yangu.
yeye: k 😡😡😡😡
mimi: mchana mwema na kazi njema bro!
yeye: k😡😡😡
Type hiyo ya WATU asee nikimalizaga kuchat nao Namba zao huwa nazi blacklist upande wa msg wawe wakitaka nitumia ujumbe nisione na mwisho huwa WANAPIGA wenyewe.
Basi unazungukwa na Mijitu mizima migonjwa.wanajibu hivyo sio watoto ni mijitu mizima
Dula ndio anaandikaga hivo mesejiSasa kama kwenye phonebook yako umejaza watoto unategemea nini.
HahaaBasi unazungukwa na Mijitu mizima migonjwa.