Majibu yanayoniboa ninapochat na mtu kwenye simu

Majibu yanayoniboa ninapochat na mtu kwenye simu

Unamsalimia Mtu vizuri kabisa unaanmwandikia

mimi : mambo

yeye: p😡😡😡

Aseee wananiboaga watu wa dizaini hiii ki ukweli natamani hata Namimi sku ingine badala ya kumwandikia mambo nimwandikie "M"


Au unachat na mtu vizuri ila kwenye sentensi zake unakuta anaandika vifupi vifupi vya ajabu na kunchanganyia herufi MFANO:

mimi: vipi sasa ile ishu mkuu?

yeye: xijaonn na yle m2,xma kexho ntamchk😡😡😡😡

mimi : kwa hiyo tunafanyaje?

yeye : 2kutane pleple xema leo uxchlewe😡😡😡😡



Mijitu ya namna hiii ki ukweli inaniboaga mimi basi tu, na wale wengine wazeee wa kujua kuto value heshima wanayopewa,unaweza ukakuta unachat na mtu vizuri mwanzo mwisho,inaweza kuwa ni asubuhi/mchana/usiku,ila kwa mtu yeyote smart/anaejielewa anaechat na mtu lazima msg iwe na salamu,lengo,kuagana.

huwezi kuanza kuchat na mtu tu kisa una namba yake uende direct kwenye lengo,hiyo haileti picha nzuri lazima utamsalimia kidogo then story mbli tatu kisha lengo..na mwsho kuagana...Hapa kwenye kuagana yawezekana n Mchana unachat na mtu.

mimi : ndugu mambo vipi?

yeye😛oa tu mkuu,habari za huko?

mimi: huku sio mbaya,nilikua nakusalimia tu ndugu yangu.

yeye: k 😡😡😡😡

mimi: mchana mwema na kazi njema bro!

yeye: k😡😡😡

Type hiyo ya WATU asee nikimalizaga kuchat nao Namba zao huwa nazi blacklist upande wa msg wawe wakitaka nitumia ujumbe nisione na mwisho huwa WANAPIGA wenyewe.
Wa2 tk na manbo mng ha2na mda wa kucht cht ,hy n njia y2 ya kkjlxha 2k bz! Damn nimejaribu mimi mwenyewe naona shida
 
Pole, hizo ni tabia za wanaoanza kushika simu karibuni (watoto) so wakikua wataacha.

kuwa mvumilivu
 
Ukiwa muelewa vitu vidofo kama hivyo haviwezi kukupa shida kwenye maisha yako.

Unauhakika gani kama wewe upo sahihi kwa huo uandishi.

Na ukiona mtu amekujibu hivyo inatakiwa ujichunguze wewe mwenyewe kwanza
 
Hivi hiyo mad😡mad😡mad huwa ina maana gani mkuu?
 
Back
Top Bottom