GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sasa mbona tayari umeishasema tu7. Mwambieni Leah wenu kuwa niliyoyaandika hapa ni 50% na akinitibua kwa Kushirikiana na Mama yake nitasema na lile Moja kubwa la kwa Mganga kule Sumbawanga walikopelekwa na Mbunge mmoja sasa si Mbunge tena ili Wamwaribu Marehemu wa Watu na wafanye yao.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
"Mamwaribu mzee" haya tunashukuru kwa mrejesho tukukaDunia ina mambo