mathewrogers91
Member
- Jul 9, 2012
- 11
- 6
Vile unavyomwona CHURA je kakaa,
kasimama, kachutama au kalala?
Hzo zote zilikuwa nimbwembwe2 ila point ya mcngi hiiyapa:
"mm nimgeni hapa naombeni mnikaribishe wapendwa wng...
Kwamba chura ni mamalia, ni elimu mpya, enzi zetu alikuwa amfibia.mm pia mgeni. naomba mnipokee wana JF
Tukirudi kwenye mada, chura ni mamalia pekee mwenye uwezo wa 3 in 1 (kukaa, kuchuchumaa na kulala at th same time)
Vile unavyomwona CHURA je kakaa,
kasimama, kachutama au kalala?
Hzo zote zilikuwa nimbwembwe2 ila point ya mcngi hiiyapa:
"mm nimgeni hapa naombeni mnikaribishe wapendwa wng...