Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Tunatekwa mpo kimya,
Tunapotezwa mpo kimya,
Wanatukamata kutulawiti na kutubaka Mpo kimya,
Wenye mawazo mbadala wanafunguliwa kesi za kupika ili kuwakomoa mpo kimya.
Unafanyika Ufisadi wa Kutisha pesa za Watanzania masikini zinaibwa na kuwanufaisha kikundi cha watu wachache huku Watanzania tukikosa madawa hospitali, maji safi na salama, watoto wetu wanasoma shule zenye miundombinu duni alafu nyie mko kimya.
Kikundi cha Watu wachache kinakwapua fedha za Watanzania masikini na kujitengenezea ukwasi wa kutisha na kujilimbikizia mali nje na ndani ya nchi nyie mko kimya.
Baada ya Wakenya kutusaidia kuwapa za uso na mtu wenu anayeongoza mateso yetu ndo mnajifanya mna uchungu sana na kutukumbuka sisi wananchi eti tumtetee Rais?? HAPANA KWA KWELI.
Kwa haya mnayotufanyia acha Wakenya wawafundishe na sisi ndo kwanza tunachukua popcorn na kucheka.
Sisi Watanzania kwa pamoja tunasema. HATUJALI, KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE. KALENI MLIPOPELEKA MBOGA.
Kwa hali tuliyofikia hata mkivamiwa tutawashingilia Wanaowavamia.