Geni, hawezi kutoka na Majid sio level yake kabisa , Gen. level nyingine kabisa na wala sio handsome ni weupe tu unamsitiri hana mvuto kama Ramsey na Van Vicker.
mshikaji handsome mbayaa
namkubali sana huyu kaka kuna yeye VAN VICKER,JOHN DUMELO NA KUNA KENGINE KAFUPI FUPI HV KEUSI NIMEKASAHAU
mshikaji handsome mbayaa
namkubali sana huyu kaka kuna yeye VAN VICKER,JOHN DUMELO NA KUNA KENGINE KAFUPI FUPI HV KEUSI NIMEKASAHAU
Sasa huyu Majid hata kwa John Dumelo haingii, John handsome.
Kuna yule mweusi mpole mtaratibu aisee sikumbuki jina lake ni mzurii anafunika hawa wote waarabu nakuambia,halaf huyo Van ni mfupi kwelii mpaka anaboa!!
kulikoni wajamenii
Huyo John ndio yule mweusi ana dimpoz za kiaina eee hebu weka picha basiu
John Dumelo Pat Atah
Huyu huyu yaan huyu kaka anazidi hao woteee tyta weka ambayo hajainama wamuone vizuri
Sasa huyu Majid hata kwa John Dumelo haingii, John handsome.
Dina unaona John na Pat walivyo wazuri ,yaani hawa noll/gallwood ndio no 1 kwangu sio wale waarabu.
Mimi John namzimia jamani,SI utani
Dina unaona John na Pat walivyo wazuri ,yaani hawa noll/gallwood ndio no 1 kwangu sio wale waarabu.
John ni chiboko katuliaa
nimemuona john nimekukumbuka binamu
Hhhhhhaaa john woooooo john wooo am looking for my John
Am looking for my honey
Do u know John???question
Miss you too binamu nimejaa tele mpaka nawabana watu humu hawapumuiiii wakipumua ni Dina Dina kama Oksijeni miew