Majid Michael: I am Genevieve's student, not lover

Majid Michael: I am Genevieve's student, not lover

Geni, hawezi kutoka na Majid sio level yake kabisa , Gen. level nyingine kabisa na wala sio handsome ni weupe tu unamsitiri hana mvuto kama Ramsey na Van Vicker.

Van vicker na Ramsey mbona nao ni weupe,ila Hapo mi naona Ramsey ni bomba kuliko huyu majid na van ,naona Majid kajipodoa kwelii
 
mshikaji handsome mbayaa
namkubali sana huyu kaka kuna yeye VAN VICKER,JOHN DUMELO NA KUNA KENGINE KAFUPI FUPI HV KEUSI NIMEKASAHAU

Kuna yule mweusi mpole mtaratibu aisee sikumbuki jina lake ni mzurii anafunika hawa wote waarabu nakuambia,halaf huyo Van ni mfupi kwelii mpaka anaboa!!
 
mshikaji handsome mbayaa
namkubali sana huyu kaka kuna yeye VAN VICKER,JOHN DUMELO NA KUNA KENGINE KAFUPI FUPI HV KEUSI NIMEKASAHAU

Sasa huyu Majid hata kwa John Dumelo haingii, John handsome.
 
Kuna yule mweusi mpole mtaratibu aisee sikumbuki jina lake ni mzurii anafunika hawa wote waarabu nakuambia,halaf huyo Van ni mfupi kwelii mpaka anaboa!!

Atakuwa John Dumelo au Pat Atah ni weusi halafu wana mvuto.
 
Atakuwa John Dumelo au Pat Atah ni weusi halafu wana mvuto.

Tyta aje atuwekee pichq

John Dumelo Pat Atah
Dumelo1.jpg
Pat-Attah-400-x-566.jpg
 
Dina unaona John na Pat walivyo wazuri ,yaani hawa noll/gallwood ndio no 1 kwangu sio wale waarabu.
 
Kusifia sifia huku mwishowe tupewe talaka, mi nahepa
 
nimemuona john nimekukumbuka binamu

Hhhhhhaaa john woooooo john wooo am looking for my John
Am looking for my honey
Do u know John???question
Miss you too binamu nimejaa tele mpaka nawabana watu humu hawapumuiiii wakipumua ni Dina Dina kama Oksijeni miew
 
Kweli unawapa shida watu humu, dah nyota yako yako kali nimekukubali
 
Back
Top Bottom