Mimi John namzimia jamani,SI utani
Joti????????mshikaji handsome mbayaa
namkubali sana huyu kaka kuna yeye VAN VICKER,JOHN DUMELO NA KUNA KENGINE KAFUPI FUPI HV KEUSI NIMEKASAHAU
Kweli unawapa shida watu humu, dah nyota yako yako kali nimekukubali
Watatuwezea wapi binamu kuku wa kizungu hao? Huu muziki munene aiseeh
Watatuwezea wapi binamu kuku wa kizungu hao? Huu muziki munene aiseeh
Huyo john kuna movie aliigiza choko, dah jamaa anachezewa mat@ko na mwanaume mwenzie, halafu linashepu hatar, wenzetu movie za porn wameendelea, sijui jamaa aliwaza nn kuigiza punga had kuruhusu kuvulia nguo na kuchezew kalio live duh yataka moyo
yah jamaa anaigiza poa, ni kati ya wasanii wanaofanya vzur sana nollywood/glywood, anapenda sana kuigiza na dada mmoja anaitwa yvone nelson
Joti????????
Lakini wanaume wa kia frika si ndivyo tulivyo?tunaaminiwa kupeleka pesa popote lakini hatuaminiwi kuwa na ukaribu na mwanamke !lazima tutafanya "yetu" tu na urafiki unakuja baada ya kushindwa kufanya "yetu"Hata kama umeolewaa ukiwa karibu tu na mwanaume lazima usemwe
yah jamaa anaigiza poa, ni kati ya wasanii wanaofanya vzur sana nollywood/glywood, anapenda sana kuigiza na dada mmoja anaitwa yvone nelson
Ila uektiji wake hauvutii..... kama anafosi... genevieve atafute mwanafunzi mwengine