Majid Michael: I am Genevieve's student, not lover

Mimi John namzimia jamani,SI utani

Huyo john kuna movie aliigiza choko, dah jamaa anachezewa mat@ko na mwanaume mwenzie, halafu linashepu hatar, wenzetu movie za porn wameendelea, sijui jamaa aliwaza nn kuigiza punga had kuruhusu kuvulia nguo na kuchezew kalio live duh yataka moyo
 
john dumelo pat attah
John-Dumelo.jpg
pat-attah-4.jpg

Ramsey siku izi kazeeka
 
Huyo john kuna movie aliigiza choko, dah jamaa anachezewa mat@ko na mwanaume mwenzie, halafu linashepu hatar, wenzetu movie za porn wameendelea, sijui jamaa aliwaza nn kuigiza punga had kuruhusu kuvulia nguo na kuchezew kalio live duh yataka moyo

Halaf ana makengeza eee ila mchiz wa ukwelii,labda alipewa dau nono kuigiza hivyoooo
 
yah jamaa anaigiza poa, ni kati ya wasanii wanaofanya vzur sana nollywood/glywood, anapenda sana kuigiza na dada mmoja anaitwa yvone nelson
 
Ni mghana au mnijeria????
 
Hata kama umeolewaa ukiwa karibu tu na mwanaume lazima usemwe
Lakini wanaume wa kia frika si ndivyo tulivyo?tunaaminiwa kupeleka pesa popote lakini hatuaminiwi kuwa na ukaribu na mwanamke !lazima tutafanya "yetu" tu na urafiki unakuja baada ya kushindwa kufanya "yetu"
 
yah jamaa anaigiza poa, ni kati ya wasanii wanaofanya vzur sana nollywood/glywood, anapenda sana kuigiza na dada mmoja anaitwa yvone nelson

Vyone nelson alikuwa anatoka nae sasa hv anatoka na jack apiah
 
Ila uektiji wake hauvutii..... kama anafosi... genevieve atafute mwanafunzi mwengine
 
Back
Top Bottom