Majigambo ya Humphrey Polepole na V8 ndiyo yaliyochagiza ununuzi wa magari ya kifahari kwa Ma-DED na Taasisi nyingine

Hawa Ccm hawana kipau mbele, waka direction. Nakumbuka nje MB a huyu Chaku, kuna waziri alisha ongea bungeni kwamba Serikali itarndelea kununua mm a Vx V8 kwa vile ndiyo bora. Kama sija kosea alikuwa Mbarawa. Na alijibu hivyo kwa vile lilikuwa swali tok kwa upinzani.
Leo tuna pigwa changa la macho ati wametumia madaraka vibaya.. Duhhh Ccm bwana..
 
Ngoja niulize swali la kizushi kama vile mwanafunzi wa Form One, "Je hivi unatakiwa usome kombi (combi) gani, ili mtu uweze kuwa DED wa wilaya na ku-enjoy hayo magari Ma-VXR ? "
Masomo ya sanaa, na usifaulu sana maana hautafaa, kisw, eng, history, geography ili ukasomee political science and mass adm, ila ukifaulu sana utaenda kuwa lawyer, itakuwa kazi kuteuliwa u ded!
 
Halafu maded hayo magari wala Si yao, wamesimamia ununuzi kwa nia njema tu na hayo magari hutumiwa na watumishi wengine. Mwisho wa,siku anahama Gari litakuwepo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…