LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Hawa Ccm hawana kipau mbele, waka direction. Nakumbuka nje MB a huyu Chaku, kuna waziri alisha ongea bungeni kwamba Serikali itarndelea kununua mm a Vx V8 kwa vile ndiyo bora. Kama sija kosea alikuwa Mbarawa. Na alijibu hivyo kwa vile lilikuwa swali tok kwa upinzani.Wana JF.
Ukiangalia kwa umakini unaweza kuona maDED kama wameonewa vile kwa sababu chama chenyewe kupitia katibu mwenezi mstaafu ndiye kinala wa uchochezi kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
Kuna kiclip moja HP alitamba sana kuwa viongozi wengi hata wa hali yA chini wanatumia magari makali sana kiasi cha kutofikiwa na mtu yeyote.
Kiukweli magari ya viongozi wa CCM mengi ni VXR yaani yanafikia gharama ya million490 sasa ukiangalia hawa watu wanaopigania kupunguza matumizi kiuzalendo hapa wanakwama wapi kutoonyesha wanavyokula maraha na magari ya bei mbaya huku hospital zikikosa dawa.
Au pesa ya chama aina matumizi mengine mpaka wanunue maV8 . Napata ukakasi kwamba hii clip ya HP ilitoka bahati mbaya au ndivyo walivyo wangata na kupuliza.
Kama aliteleza basi atuombe samahani na Ma-DED waombewe samahani haya magari yote yapigwe mnada tununue ya million 108 kutoka China wanayotumia mapolisi kwani nayo mazuri.
Leo tuna pigwa changa la macho ati wametumia madaraka vibaya.. Duhhh Ccm bwana..