Majihadi ya kidini yaua Watanzania sita Mtwara karibu na mpaka wa Msumbiji

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Poleni majirani, haya mazombi yanafaa kuwindwa kwa mbinu zote, ndio maana mnaona tukihangaika kuzuia yasiunde serikali Somalia au popote pale, licha ya nyie kukejeli juhudi zetu.

KILLINGS+PIC.jpg

MTWARA Six Tanzanians were shot dead and seven others injured in an attack carried out by unidentified assailants in a village bordering a region in Mozambique known for jihadist activity, a police official said Wednesday.

For nearly two years, jihadists have carried out numerous raids in the Mozambique's Cabo Delgado province bordering Tanzania, killing at least 300 civilians and displacing tens of thousands of people.

"The attackers, presumably from Mozambique, gathered the villagers together before opening fire," said Robert Boaz, criminal investigations chief for the Tanzanian police, during a meeting near the attack site in the southeastern district of Tandahimba.
 
The best thing is to get the other side in order to rescue the situation.
 
MK254,

My opinion: Sitashangaa hao magaidi wakigundulika kuwa ni Wabongo.There has been a wave of Tanzanian Muslim extremists moving to Mozambique kupewa training na kufanya mashambulizi ya kigaidi huko. Walifukuzwa huku wakakimbilia huko. Tanzania na Mozambique zinatakiwa kushirikiana la sivyo things will get really ugly real quick!
 
Hao terrorist walifurushwa Kibiti wakakimbilia Msumbiji tukawaachia msumbiji wapambane nao Waka delay)
waliporudi kushambulia Tanzania ikafanyika operation ya pamoja na hali ikatulia kidogo upande wa Tanzania ila Msumbiji hali ikawa mbaya zaidi.

kuna mkutano wa SADC wa viongozi wa vyombo vya ulinzi nahsi ni wiki hii kama sjakosea nafkiri hili litakua moja ya ajenda na watatoka na maamuzi doria zipo ingawa mpaka ni mrefu kiasi chake.
 
Hawachukui wiki hao washafyekelewa mbali. Walipgwa Kibiti wakashuka south watapgwa tena
 
MK254,

My opinion: Sitashangaa hao magaidi wakigundulika kuwa ni Wabongo.There has been a wave of Tanzanian Muslim extremists moving to Mozambique kupewa training na kufanya mashambulizi ya kigaidi huko. Walifukuzwa huku wakakimbilia huko. Tanzania na Mozambique zinatakiwa kushirikiana la sivyo things will get really ugly real quick!

Serikali ya Msumbiji imezembea kwa hili, au na wao humo humo serikalini kuna wanaofaidi na haya mambo.
 
MK254,

My opinion: Sitashangaa hao magaidi wakigundulika kuwa ni Wabongo.There has been a wave of Tanzanian Muslim extremists moving to Mozambique kupewa training na kufanya mashambulizi ya kigaidi huko. Walifukuzwa huku wakakimbilia huko. Tanzania na Mozambique zinatakiwa kushirikiana la sivyo things will get really ugly real quick!
Ndio magaidi hao, huwa wanaanza kwa kuwafanyia vijana 'radicalisation'. Vijana wa kitanzania wapo hata Somalia, ila serikali yenu imefumbia macho jambo hilo. Jambo ambalo ni hatari sana, kwasababu vijana hao huwa wanapata mafunzo kisiri alafu wanarudi nchini kufanya yao. Serikali ya Kenya ilipoanza kufanya juhudi za kuwafatilia na kuwafunza upya vijana kama hao kutoka Kenya ndio vita dhidi ya ugaidi vilianza kufanikiwa.
 
misikiti mingi tuu na mashehe wengi tuu walokua wanafundisha ujinga huo walidhibitiwa
budaa tunashirikiana na nyie kwe maswala ya usalama na taarifa tnabadlishana! hata taarifa za wale vijana walokamatwa mpakan kwenu na somalia unafkir taarifa ziltoka wapi? au unahisi nyie ni ......
 
Poleni majirani, haya mazombi yanafaa kuwindwa kwa mbinu zote, ndio maana mnaona tukihangaika kuzuia yasiunde serikali Somalia au popote pale, licha ya nyie kukejeli juhudi zetu.

KILLINGS+PIC.jpg

MTWARA Six Tanzanians were shot dead and seven others injured in an attack carried out by unidentified assailants in a village bordering a region in Mozambique known for jihadist activity, a police official said Wednesday.

For nearly two years, jihadists have carried out numerous raids in the Mozambique's Cabo Delgado province bordering Tanzania, killing at least 300 civilians and displacing tens of thousands of people.

"The attackers, presumably from Mozambique, gathered the villagers together before opening fire," said Robert Boaz, criminal investigations chief for the Tanzanian police, during a meeting near the attack site in the southeastern district of Tandahimba.
KIBITI imerudi
Ngoja tusikie wanamazingaombwe wetu wakijitutumua kuongea na vyombo vya habari badala ya kutatua tatizo
 
misikiti mingi tuu na mashehe wengi tuu walokua wanafundisha ujinga huo walidhibitiwa
budaa tunashirikiana na nyie kwe maswala ya usalama na taarifa tnabadlishana! hata taarifa za wale vijana walokamatwa mpakan kwenu na somalia unafkir taarifa ziltoka wapi? au unahisi nyie ni ......
Kwani taarifa zilitoka wapi, acha mzaha wewe. Kitengo cha polisi cha kupambana na ugaidi nchini Kenya, ATPU, ndio huwa kinafanya profiling ya vijana wanaovuka border kuenda kupata mafunzo ya kijihadi. Wao ndio wamekuwa wakiwanasa na kupeana taarifa kuhusu vijana wa kitanzania ndani ya alshabaab. Anti-Terrorism ni zaidi ya kupeana taarifa. Ushirikiano wa Kenya na Tz kwenye masuala mengi, kama usalama, ulififia kabisa baada ya utawala mpya kushika hatamu. Infact, wengi wana maoni kwamba Tz huwa inaona vita vya Kenya dhidi ya ugaidi vikiwa vya manufaa kwao, kiuchumi.
 
Kwani taarifa zilitoka wapi, acha mzaha wewe. Kitengo cha polisi cha kupambana na ugaidi nchini Kenya, ATPU, ndio huwa kinafanya profiling ya vijana wanaovuka border kuenda kupata mafunzo ya kijihadi. Wao ndio wamekuwa wakiwanasa na kupeana taarifa kuhusu vijana wa kitanzania ndani ya alshabaab. Anti-Terrorism ni zaidi ya kupeana taarifa. Ushirikiano wa Kenya na Tz kwenye masuala mengi, kama usalama, ulififia kabisa baada ya utawala mpya kushika hatamu. Infact, wengi wana maoni kwamba Tz huwa wanaona vita vya Kenya dhidi ya ugaidi vikiwa vya manufaa kwao, kiuchumi.
Wewe unahisi kwanini alishikwa yeye na wenzie but sio kila aliekuapo boder? Au kila Mtz anachofanya huku nyie mnakijua? Muda huyo dogo anakamatwa huku TZ joto la Uislam na mafunzo yao ndo lilikua limepamba moto.

Anyway siyo laza uamini nnachokisema.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
My condolences. This is very unfortunate. A regional strategy is needed to combat extremism.
 
Wengi hamjui hali ya Northern Mozambique, serikali yao inakabiliwa na mambo makubwa mawili kwa wakati mmoja:

1: Disgruntled RENAMO fighters
2: Jihadi's insurgency

Jeshi letu linaelewa hio challenge ya Mozambique ndio maana wiki 3 zilizopita CDF pamoja na IGP walikwenda pamoja kukagua maeneo ya hio border, ripoti za itelijensia zipo. Tatizo ni kwamba mauaji ya raia wetu yamefanyika ndani ya eneo la Mozambique, tukiingia huko bila coordination nao itakuwa ni diplomatic issue.

Uzuri ni kwamba, maeneo hayo tunayajua vyema toka enzi za kumpiga Mreno, mda si mrefu baada ya SADC Troika kazi itaanza...
 
Vijana wengi wanaojihusisha na mkumbo huu wa jihad ni wale waliokataa elimu wanayoiita Elimu dunia, wenyewe wanaona Elimu ya madrassa ndo kila kitu... Ujinga ulioje.
 
poleni waswahili mazee...naona mnadhulumika kila sehemuu!
 
Back
Top Bottom