Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe elimu madrasa huitaki?Vijana wengi wanaojihusisha na mkumbo huu wa jihad ni wale waliokataa elimu wanayoiita Elimu dunia, wenyewe wanaona Elimu ya madrassa ndo kila kitu... Ujinga ulioje.
Ww acha ujinga sasa unataka tuende kuwafuatakuwa rejesha uraiani ? Aaliye jiunga na ugaidi ni chaguo lake. Yy ila impact yake ataipata, kwan huko somalia mbona wa kenya vijanaa ni lundo kwa taarifa zilizopo na hata baadhi ya matukio yaliyo yokea mombasa yali dhihirisha...na sio wa kenya tu ktk ugaid ni vijana wanmataifa mbali mbali wana danganyika ... uS , Uk to mention few big statesNdio magaidi hao, huwa wanaanza kwa kuwafanyia vijana 'radicalisation'. Vijana wa kitanzania wapo hata Somalia, ila serikali yenu imefumbia macho jambo hilo. Jambo ambalo ni hatari sana, kwasababu vijana hao huwa wanapata mafunzo kisiri alafu wanarudi nchini kufanya yao. Serikali ya Kenya ilipoanza kufanya juhudi za kuwafatilia na kuwafunza upya vijana kama hao kutoka Kenya ndio vita dhidi ya ugaidi vilianza kufanikiwa.
Upo sahihi kabisa mkulu .. ngoja SADC ikae .... vijana waingie kazini......atazaliwa mtoto!!Wengi hamjui hali ya Northern Mozambique, serikali yao inakabiliwa na mambo makubwa mawili kwa wakati mmoja:
1: Disgruntled RENAMO fighters
2: Jihadi's insurgency
Jeshi letu linaelewa hio challenge ya Mozambique ndio maana wiki 3 zilizopita CDF pamoja na IGP walikwenda pamoja kukagua maeneo ya hio border, ripoti za itelijensia zipo. Tatizo ni kwamba mauaji ya raia wetu yamefanyika ndani ya eneo la Mozambique, tukiingia huko bila coordination nao itakuwa ni diplomatic issue.
Uzuri ni kwamba, maeneo hayo tunayajua vyema toka enzi za kumpiga Mreno, mda si mrefu baada ya SADC Troika kazi itaanza...
Jana nilipost uzi kama huu lakini ulitolewa na JF kwa kisingizio kuwa sio habari ya kweli.Poleni majirani, haya mazombi yanafaa kuwindwa kwa mbinu zote, ndio maana mnaona tukihangaika kuzuia yasiunde serikali Somalia au popote pale, licha ya nyie kukejeli juhudi zetu.
![]()
MTWARA Six Tanzanians were shot dead and seven others injured in an attack carried out by unidentified assailants in a village bordering a region in Mozambique known for jihadist activity, a police official said Wednesday.
For nearly two years, jihadists have carried out numerous raids in the Mozambique's Cabo Delgado province bordering Tanzania, killing at least 300 civilians and displacing tens of thousands of people.
"The attackers, presumably from Mozambique, gathered the villagers together before opening fire," said Robert Boaz, criminal investigations chief for the Tanzanian police, during a meeting near the attack site in the southeastern district of Tandahimba.
Hao magaidi wenu kwanza bado hawajui kutumia bomb. Kateni pembe zao saa hii wakati bado wanajifunza ugaidi.MK254,
My opinion: Sitashangaa hao magaidi wakigundulika kuwa ni Wabongo.There has been a wave of Tanzanian Muslim extremists moving to Mozambique kupewa training na kufanya mashambulizi ya kigaidi huko. Walifukuzwa huku wakakimbilia huko. Tanzania na Mozambique zinatakiwa kushirikiana la sivyo things will get really ugly real quick!
Ngoja tuwape mda, ngoma bado ipo dakika za 30..Hao magaidi wenu kwanza bado hawajui kutumia bomb. Kateni pembe zao saa hii wakati bado wanajifunza ugaidi.
Hahaha. Geza Ulole hili swali ni lako.Ngoja tuwape mda, ngoma bado ipo dakika za 30..
Ikifika huko 60, ndio wataitana😂. Sasa zile panya zao watazitumiaje katika patrol? Ama kutakuwa na mtu anatembea nazo😂
Jeshi la Msumbiji ni hafifu mno. Sikuamini macho yangu nilipoona kuwa baadhi ya wanajeshi wao wanavaa slippers yaani patipati. Yaani serikali haiwezi hata kuafford kununulia soldiers boots, unategemea mwanajeshi huyo awe na morali ya kupambana na gaidi aliyejivalia booti la kijeshi huku amebeba M16 na RPG? Serikali ya Msumbiji ni corrupt, they have underinvested in their defense sector. Tazama hii picha halafu ujiulize kama hawa wanajeshi wanaweza kupambana na ISIS. Zoom utazame miguu zaoSerikali ya Msumbiji imezembea kwa hili, au na wao humo humo serikalini kuna wanaofaidi na haya mambo.
Eti aliyejiunga na ugaidi ni chaguo lake? Hao vijana ni majobless watanzania na baada ya 'radicalisation' na mafunzo huwa wanarejea kisirisiri kueneza ujinga wao. Ugaidi si ni haramu kisheria nchini Tz? Kenya vijana kama hao wanafatiliwa na kitengo cha usalama dhidi ya ugaidi, ATPU. Familia zao huwa zinashurutishwa kuwaripoti ili mienendo yao ifatiliwe. White Widow tunamjua kwasababu UK wana database na profile za hawa mazombie. Kwa taarifa yako hiyo comment yangu ni ya mwaka uliopita, kabla ya matukio ya hivi majuzi. Magaidi sio kama waasi wa kawaida, shauri yenu.Ww acha ujinga sasa unataka tuende kuwafuatakuwa rejesha uraiani ? Aaliye jiunga na ugaidi ni chaguo lake. Yy ila impact yake ataipata, kwan huko somalia mbona wa kenya vijanaa ni lundo na matukio yaliyo yokea mombasa yali dhihirisha...na sio wa kenya tu vijana wanmataifa mbali mbali wana danganyika ... uS , Uk to mention few big states yule white widor si ni mwingereza mbona Uk hawa mjali?
Sisi sio mdebwedo Kama nyinyi,👇👇👇Eti aliyejiunga na ugaidi ni chaguo lake? Hao vijana ni majobless watanzania na baada ya 'radicalisation' na mafunzo huwa wanarejea kisirisiri kueneza ujinga wao. Ugaidi si ni haramu kisheria nchini Tz? Kenya vijana kama hao wanafatiliwa na kitengo cha usalama dhidi ya ugaidi, ATPU. Familia zao huwa zinashurutishwa kuwaripoti ili mienendo yao ifatiliwe. White Widow tunamjua kwasababu UK wana database na profile za hawa mazombie. Kwa taarifa yako hiyo comment yangu ni ya mwaka uliopita, kabla ya matukio ya hivi majuzi. Magaidi sio kama waasi wa kawaida, shauri yenu.