Majihadi ya kidini yaua Watanzania sita Mtwara karibu na mpaka wa Msumbiji

Ww acha ujinga sasa unataka tuende kuwafuatakuwa rejesha uraiani ? Aaliye jiunga na ugaidi ni chaguo lake. Yy ila impact yake ataipata, kwan huko somalia mbona wa kenya vijanaa ni lundo kwa taarifa zilizopo na hata baadhi ya matukio yaliyo yokea mombasa yali dhihirisha...na sio wa kenya tu ktk ugaid ni vijana wanmataifa mbali mbali wana danganyika ... uS , Uk to mention few big states

Kwan yule white widor si ni mwingereza mbona Uk hawa mjali may be kumrejesha . My point is ukisha ukachauraia na kujiunga na magaid utapambana na mikono ya sheria. Acha kusema eti serikal yetu haijali ..au unataka na sis tuwa peleke wanajeshi somalia ? Tulia dogotuna vyombo vya ulinzi boraaa kbs

Hapo kwenu tu Garisa raia waliuliwa hovyo hovyo na magaid. Stop blaming mzee
 
Upo sahihi kabisa mkulu .. ngoja SADC ikae .... vijana waingie kazini......atazaliwa mtoto!!
 
Jana nilipost uzi kama huu lakini ulitolewa na JF kwa kisingizio kuwa sio habari ya kweli.

Geza Ulole huyu polisi wenu aliyedhibitisha madai pia anadanganya?
 
Hao magaidi wenu kwanza bado hawajui kutumia bomb. Kateni pembe zao saa hii wakati bado wanajifunza ugaidi.
 
Hao magaidi wenu kwanza bado hawajui kutumia bomb. Kateni pembe zao saa hii wakati bado wanajifunza ugaidi.
Ngoja tuwape mda, ngoma bado ipo dakika za 30..

Ikifika huko 60, ndio wataitana😂. Sasa zile panya zao watazitumiaje katika patrol? Ama kutakuwa na mtu anatembea nazo😂
 
Serikali ya Msumbiji imezembea kwa hili, au na wao humo humo serikalini kuna wanaofaidi na haya mambo.
Jeshi la Msumbiji ni hafifu mno. Sikuamini macho yangu nilipoona kuwa baadhi ya wanajeshi wao wanavaa slippers yaani patipati. Yaani serikali haiwezi hata kuafford kununulia soldiers boots, unategemea mwanajeshi huyo awe na morali ya kupambana na gaidi aliyejivalia booti la kijeshi huku amebeba M16 na RPG? Serikali ya Msumbiji ni corrupt, they have underinvested in their defense sector. Tazama hii picha halafu ujiulize kama hawa wanajeshi wanaweza kupambana na ISIS. Zoom utazame miguu zao


 
Eti aliyejiunga na ugaidi ni chaguo lake? Hao vijana ni majobless watanzania na baada ya 'radicalisation' na mafunzo huwa wanarejea kisirisiri kueneza ujinga wao. Ugaidi si ni haramu kisheria nchini Tz? Kenya vijana kama hao wanafatiliwa na kitengo cha usalama dhidi ya ugaidi, ATPU. Familia zao huwa zinashurutishwa kuwaripoti ili mienendo yao ifatiliwe. White Widow tunamjua kwasababu UK wana database na profile za hawa mazombie. Kwa taarifa yako hiyo comment yangu ni ya mwaka uliopita, kabla ya matukio ya hivi majuzi. Magaidi sio kama waasi wa kawaida, shauri yenu.
 
Sisi sio mdebwedo Kama nyinyi,👇👇👇

https://www.facebook.com/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…