Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Shida ya jiji la mbeya halipendezi katikati ya mjini nyumba zimejengwa Kwa tofali mbichi halafu hazijapigwa plasta. Katika miji mingi niliyotembea Tanzania mbeya ndio jiji pekee tatikati ya mji nyumba zimejengwa Kwa tope
 
Huyu naye anachekesha kwel na bandari ya tanga dah 😀😀😀
Basi mtwara na lindi zipandishwe hadhi yawe majiji
 
Nilichogundua wewe jamaa una chuki kali sana,kama una uwezo wa kujipima pia una ukabila sana,sasa shida umeanzaje kuwashambulia Mbeya kwa ukabila,huu umeanzishwa kama mjadala tu,lakini maneno ni makali mno kuhusu Mbeya tu,wamekukosea nini mzee,hata vigezo vya mji kupandishwa hadhi huvijui kwa vigezo vyako ni makabila,najua utakuwa povu pole sana
 
Kwa muktadha huo Tanga imeendelea kuliko Arusha na Dodoma?

Mombasa imeendelea kuliko Nairobi? Japo ni off topic but kuwa tuu na bandari hakukufanyi uendelee automatic
 
Sidhani Kama huyu mtu alishawahi kufika mwanza.


Tz tuna majiji mawili tu.

Dar na mwanza. Pengine ni munispality zilizochangamka
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mwanza hamna kitu ,hata nisingefika picha tuu za Arusha na Mwanza mara 200 Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…