lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Sasa hicho ulichoandika kinalingana na Mada tajwa ?Siko kinyume na Mada.Port city Huwezi kulinganisha na majiji yasio na Bandari za Bahari(Port City).Hayo majiji mengine yote,maendeleo yao,yanategemea Port City(Dar,Tanga).Kama mafuta ya magari na mitambo,bila kwenda kuchukuwa Dar au Tanga,hao majiji mengine,hayawezi kuwa na maendeleo.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app