CCM watapigaje pesa wakiyakabidhi kwa mameya?Kwa wenzetu majiji huwa yanaongozwa na mameya, mameya hawa huwa wanachaguliwa na wananchi...
Na huu ndo ulikuwa msingi wa sera murua ya Tundu Lissu kipindi cha uchaguzi( Sera ya Majimbo). Kuna siku itafika nawaambia akili zikiwakaa sawa lazima mtake Lissu awe ntakutumiaKwa wenzetu majiji huwa yanaongozwa na mameya, mameya hawa huwa wanachaguliwa na wananchi...
Mfumo wetu siyo mbaya pia ,sema hapa kwetu Meya anatokana na diwani aliyechaguliwa na wananchi.sema diwani kwa hapa kwetu inachukuliwa ni nafasi/kada ya chini yaan next to mwenyekiti wa mtaa/kijiji. Mamlaka iko kwa baraza la madiwani.na humo kwa baraza la madiwani wenye influence ya kupindua meza(kisiasa) ni wale ambao uelewa wao juu ya mambo complex ni mdogo sana kutokana na elimu zao.Halafu kuna mivitunao ya hovyo kila diwani anavutiaga kwenye kata yake.Kwa wenzetu majiji huwa yanaongozwa na mameya, mameya hawa huwa wanachaguliwa na wananchi.
Hawa ndiyo huwa wanasimamia mambo yote ndani ya jiji, elimu, afya, usafi, uchumi, miundombinu nk...
Umenena vema ila kuna tofauti kubwa sana ya meya wa kwetu na meya wa nchi kama Marekani. Kwetu sisi meya au kwenye sehemu zingine anaitwa mwenyekiti wa baraza la madiwani hana mamlaka yoyote ya kiutendaji.Mfumo wetu siyo mbaya pia ,sema hapa kwetu Meya anatokana na diwani aliyechaguliwa na wananchi.sema diwani kwa hapa kwetu inachukuliwa ni nafasi/kada ya chini yaan next to mwenyekiti wa mtaa/kijiji.Mamlaka iko kwa baraza la madiwani.na humo kwa baraza la madiwani wenye influence ya kupindua meza(kisiasa) ni wale ambao uelewa wao juu ya mambo complex ni mdogo sana kutokana na elimu zao.Halafu kuna mivitunao ya hovyo kila diwani anavutiaga kwenye kata yake...
Aliyekuwa anaendesha jiji alikuwa ni mkurugenzi wa jiji ambaye hutoka serikali kuu. Huyu si wanachi wala madiwani wanaoweza kumuwajibisha. Ilikuwa kujiendesha kwa maneno tu.Majiji na miji walipewa nafasi ya kujitawala kwa zaidi ya miaka 25, na hapa tulipo ndio matokeo yake.
1) Hospitali hazikujengwa,
2) Barabara zilikuwa mahandaki,
3) Maji hayakusambazwa,
4) Maji taka yalikuja hovyo barabarani,
5) Walikuwa watumishi wanalipwa mishahara tarehe isiyo julikana,
6) Mazao ya misitu yalikuwa hayalipiwi.
7) Promotion hazikuwepo sababu mishahara kwa madaraja mapya haikuwepo,
8) Michango ya lazima kwa social security fund haipelekwi.
9) Viwanda vidogo vidogo na maeneo yake hayakutengwa.
10) Masoko hayaku jengwa.
11) Hawakuongeza shule za msingi na sekondari
12) Madawati,vitabu, na nyumba za walikuwa há kukufanyia kitu.
Halima shauri za Majiji na miji bado sana kupewa madaraka.
Na kadhalika.
Kigezo kikubwa cha sehemu kupewa hadhi ya jiji ni kuweza kujiendesha kwa mapato yake. Unasemaje ni bure hamna kitu.Siyo kwa Tanzania. Majiji karibu asilimia 95 hupata hela kutoka Dar es salaam.
Dar ndiyo inajenga nchi hii, hayo majiji mengine ni bure kabisa, hamna kitu.
Ingekuwa ni uwezo wangu ningesema baada ya Kuandika hivi basi na Uzi nao ungefikia mwisho hapa kwani umemaliza kila Kitu kwa kupatia sana.CCM wapapigaje pesa wakiyakabidhi kwa mameya?
Mkuu ndani ya CCM hakuna mwenye nia njema na wananchi ndiyo maana umasikini ndiyo kwanza unazidi badala ya kupunguaIngekuwa ni uwezo wangu ningesema baada ya Kuandika hivi basi na Uzi nao ungefikia mwisho hapa kwani umemaliza kila Kitu kwa kupatia sana.
Ila ukiisema hivi CCM tambua pia kwamba hata huko kwa Wapinzani nako ndiyo Kumeoza na Kumejaa Unafiki, Usaliti na Majungu yasiyovumilika.Mkuu ndani ya CCM hakuna mwenye nia njema na wananchi ndiyo maana umasikini ndiyo kwanza unazidi badala ya kupungua
Kati ya upinzani na CCM nani ameleta umasikini Tz? angalia maeneo ambayo yalikuwa chini ya upinzani kwa muda mrefu ulinganishe na maeneo ya CCM.Ila ukiisema hivi CCM tambua tu ya kwamba hata huko kwa Wapinzani nako ndiyo Kumeoza na Kumejaa Unafiki, Usaliti na Majungu yasiyovumilika.
Nilishawapenda CUF nikaja NCCR-Mageuzi kisha CHADEMA na kumalizia na ACT-Wazalendo na sasa ninaona bora nimpende tu Mwenyezi Mungu.Kati ya upinzani na CCM nani ameleta umasikini Tz? angalia maeneo ambayo yalikuwa chini ya upinzani kwa muda mrefu ulinganishe na maeneo ya CCM.
Huo ni uhuru wako binafsi mkuuNilishawapenda CUF nikaja NCCR-Mageuzi kisha CHADEMA na kumalizia na ACT-Wazalendo na sasa ninaona bora nimpende tu Mwenyezi Mungu.
Kujiendesha maana yake ni nini?Kigezo kikubwa cha sehemu kupewa hadhi ya jiji ni kuweza kujiendesha kwa mapato yake. Unasemaje ni bure hamna kitu
Ni fujo tuu, baada sana. Na ukiwa Mkurugenzi Mzuri mzuri ndio taabu zinaongezeka. Naomba niishie hapo nimepita katika hilo tanuri hilo.Aliyekuwa anaendesha jiji alikuwa ni mkurugenzi wa jiji ambaye hutoka serikali kuu. Huyu si wanachi wala madiwani wanaoweza kumuwajibisha. Ilikuwa kujiendesha kwa maneno tu.
Mpe meya jiji huku madiwani wakiwa na uwezo wa kumuwajibisha uone mambo yatakavyoenda.