Majiji yetu yangepewa uhuru wa kujiendesha

Majiji yetu yangepewa uhuru wa kujiendesha

Hapa iliangaliwa kuwa na mapato yanayoweza mudu bajeti yako.
Basi si unaweza kuajiri wafanyakazi 10. Na kujiita jiji na kutaka revenue yote ya jiji lako iwe chini ya meya.
Zaidi ya Dar es salaam hakuna jiji linaloweza kuwalipa wafanyakazi wote wa halmashauri, pamoja na kufanya maintanance ya miundombinu na kufanya maendeleo.
Yaani hiyo wala usiwaze. Kama unadhani lipo jiji hilo, basi huijui nchi yako vizuri.
Hakuna.
 
Back
Top Bottom