Majimaji Fc Songea

Majimaji Fc Songea

0021

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
160
Reaction score
60
Wadau wa soka la bongo naomba mwenye kukumbuka kikosi cha Majimaji Songea cha mwaka 1996-1998. Kikosi hiki kama sikosei kilikuwa bingwa wa bara na kucheza ile ligi ya iliyojulikana kama ligi ya muungano...nawakumbuka wachezaji wachache tu...Omary Kapilima,Stephen Mapunda,Delo Ntumba aka Ndombolo,Omary Hussein,Willy Martin
 
Amri saidi,doye moke,godfrey kikumbizi,john alex,delo ntumba,omar husen (mdogo wa mohamed husein)
 
Majimaji FC niliyopata kuiona ni ile ya kati ya mwaka 1983- 1986. Ambayo iliweza kutwaa ubingwa wa Tanzania mwaka 1985 na 1986.

Wachezaji ninaowakumbuka ni

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1.[/TD]
[TD]Rashid Lato[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2.[/TD]
[TD]Mdachi Kombo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3.[/TD]
[TD]Willy Kiango[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4.[/TD]
[TD]Celestine Mbunga "Sikinde"[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5.[/TD]
[TD]Octavian Mrope[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa kumbukumbu zingine wachezaji waliochukua ubingwa wa Tanzania mwaka 1998 ni

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Shaibu Kambanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Omar Hussein[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Samson Paul[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Willy Martin[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]David Mjanja[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Omar Kapilima[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Godfrey Kikumbizi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]James Mhagama[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Steven Mapunda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]John Alex[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD]Kelvin Haule[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]Doye Moke[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD]Amri Said[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD]Said Mshamu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
majimaji ya sasa ni siasa tu wacha wafungwe
 
M

Mwaka 1986 ubingwa ulichukuliwa na Tukuyu Stars (Banyambara).
 
Yup... 1986-87 Tukuyu Stars na Majimaji 1985-86
Kumbuka kipindi hicho ligi Ilikuwa inaanza January yaani ilifuata Calendar year. Sasa hivi inafuata financial year ambayo ni FIFA standard. Kwa hiyo mwaka 1986 mabingwa wa ligi daraja la kwanza walikuwa ni Tukuyu Star (banyambara) na sio mwaka 1986-87. Sawa Mkuu!
 
Sawa Mkuu...
 
yes mkuu name ningependa kujua huyu mchezaji yupo wapi ?C.Mbunga aka sikinde alikuwa mzuri sana kwa kona na mguu wake wa kushoto,nadhani hata Peter Tino also played for thia team.
Kuna mwaka nlishuhudia mechi kat ya majimajj na simba,ndipo nlipoamini c mbunga sio wamchezo mchezo enzi hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwaka nlishuhudia mechi kat ya majimajj na simba,ndipo nlipoamini c mbunga sio wamchezo mchezo enzi hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
kipindi nchi ina adabu na heshima ,ukienda pale National Stadium unashughudia soka sio sasa ni michezo ya kuigiza,mchezaji anapewa paja tu atajirusha na kujigalagaza kama kagongwa na treni,kumbuka ile back four ya Taifa Stars;L.Tenga(kabla hajaingiliwa na mihemko),J.Mtagwa,ulikuwa moto wa kuotea mbali baada ya game unatembea hadi kariakoo bila wasi na unachukua usafiri wako kuelekea kinondoni shamba.
 
Ndio basi tena haitakuja itokee kwenye kizazi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom