0021
Senior Member
- Oct 24, 2012
- 160
- 60
Wadau wa soka la bongo naomba mwenye kukumbuka kikosi cha Majimaji Songea cha mwaka 1996-1998. Kikosi hiki kama sikosei kilikuwa bingwa wa bara na kucheza ile ligi ya iliyojulikana kama ligi ya muungano...nawakumbuka wachezaji wachache tu...Omary Kapilima,Stephen Mapunda,Delo Ntumba aka Ndombolo,Omary Hussein,Willy Martin