Idelfonce Amlima pia anapatikana Ntwalaoctavian mrope nimemwona mtwara
Mwaka 1986 ubingwa ulichukuliwa na Tukuyu Stars (Banyambara).Majimaji FC niliyopata kuiona ni ile ya kati ya mwaka 1983- 1986. Ambayo iliweza kutwaa ubingwa wa Tanzania mwaka 1985 na 1986.
Wachezaji ninaowakumbuka ni
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1.[/TD]
[TD]Rashid Lato[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2.[/TD]
[TD]Mdachi Kombo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3.[/TD]
[TD]Willy Kiango[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4.[/TD]
[TD]Celestine Mbunga "Sikinde"[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5.[/TD]
[TD]Octavian Mrope[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa kumbukumbu zingine wachezaji waliochukua ubingwa wa Tanzania mwaka 1998 ni
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Shaibu Kambanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Omar Hussein[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Samson Paul[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Willy Martin[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]David Mjanja[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Omar Kapilima[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Godfrey Kikumbizi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]James Mhagama[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Steven Mapunda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]John Alex[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD]Kelvin Haule[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]Doye Moke[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD]Amri Said[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD]Said Mshamu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Yup... 1986-87 Tukuyu Stars na Majimaji 1985-86M
Mwaka 1986 ubingwa ulichukuliwa na Tukuyu Stars (Banyambara).
Kumbuka kipindi hicho ligi Ilikuwa inaanza January yaani ilifuata Calendar year. Sasa hivi inafuata financial year ambayo ni FIFA standard. Kwa hiyo mwaka 1986 mabingwa wa ligi daraja la kwanza walikuwa ni Tukuyu Star (banyambara) na sio mwaka 1986-87. Sawa Mkuu!Yup... 1986-87 Tukuyu Stars na Majimaji 1985-86
Sawa Mkuu...Kumbuka kipindi hicho ligi Ilikuwa inaanza January yaani ilifuata Calendar year. Sasa hivi inafuata financial year ambayo ni FIFA standard. Kwa hiyo mwaka 1986 mabingwa wa ligi daraja la kwanza walikuwa ni Tukuyu Star (banyambara) na sio mwaka 1986-87. Sawa Mkuu!
yes mkuu name ningependa kujua huyu mchezaji yupo wapi ?C.Mbunga aka sikinde alikuwa mzuri sana kwa kona na mguu wake wa kushoto,nadhani hata Peter Tino also played for thia team.
Kuna mwaka nlishuhudia mechi kat ya majimajj na simba,ndipo nlipoamini c mbunga sio wamchezo mchezo enzi hizo.yes mkuu name ningependa kujua huyu mchezaji yupo wapi ?C.Mbunga aka sikinde alikuwa mzuri sana kwa kona na mguu wake wa kushoto,nadhani hata Peter Tino also played for thia team.
kipindi nchi ina adabu na heshima ,ukienda pale National Stadium unashughudia soka sio sasa ni michezo ya kuigiza,mchezaji anapewa paja tu atajirusha na kujigalagaza kama kagongwa na treni,kumbuka ile back four ya Taifa Stars;L.Tenga(kabla hajaingiliwa na mihemko),J.Mtagwa,ulikuwa moto wa kuotea mbali baada ya game unatembea hadi kariakoo bila wasi na unachukua usafiri wako kuelekea kinondoni shamba.Kuna mwaka nlishuhudia mechi kat ya majimajj na simba,ndipo nlipoamini c mbunga sio wamchezo mchezo enzi hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni marehemu kwa sasa Alifariki Kati ya mwaka jana au juzi km sijakosea
Ooh.Jamaa alikuwa anaujua mpira.Raha ya milele umuangazie ee Bwana apumzike kwa amani.....Ni marehemu kwa sasa Alifariki Kati ya mwaka jana au juzi km sijakosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio basi tena haitakuja itokee kwenye kizazi hiki.kipindi nchi ina adabu na heshima ,ukienda pale National Stadium unashughudia soka sio sasa ni michezo ya kuigiza,mchezaji anapewa paja tu atajirusha na kujigalagaza kama kagongwa na treni,kumbuka ile back four ya Taifa Stars;L.Tenga(kabla hajaingiliwa na mihemko),J.Mtagwa,ulikuwa moto wa kuotea mbali baada ya game unatembea hadi kariakoo bila wasi na unachukua usafiri wako kuelekea kinondoni shamba.