Majimaji FC Special Threat

Majimaji FC Special Threat

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Wanalizombe Jambo hili ni letu. Tumuombe Mhe. Dr Jokate atusaidie kufufua timu yetu ya nyumbani
 
Yaani mnataka jokate aendelee kuiba ili timu yenu iwe imara,kahawa,mahindi,chuma,madini yote hayo mnayo yaani RUVUMA yote inautajiri ,Sasa tatizo lipo Kwa ccm ,fikiria Baba yako ndumbaro anasema elimu ya katiba miaka 3 ,niulize swali hivi huyu anataka maendeleo ya timu ya majimaji na mambo mengine? Kodi ya kahawa peke yake pale mbinga ingeweza kuhudumia timu zote za RUVUMA lakini Kodi ya kahawa inapelekwa tegeta,mbezi kwenye kujenga magorofa ,hivi bado mchawi wa Tanganyika hujamjua? Unatia hasiraaa,au mumelishwa limbwata?
 
Huyo jokate watu tumemtombah sana kumbe inatakiwa awe mbunge huko...
 
Ujinga wa mtu mweusi!! Mnawaza misaada muda wote! Yaani wanaume wa uko mmeshindwa kujioganize mkatengeneza kampuni??

Mnatengeneza kampuni ambayo itakuwa inaendesha timu ya majimaji kwa utaratibu mzuri, yaani mnakaa kumuomba msaada mdada ambae hajui chochote kwenye football!!
kweli?! nchi hii ina wendawazimu wengi!

Mngemuomba papuchi ningeweza kuwaelewa kidogo ila kuomba hawasaidie kuendesha timu huo ni ujinga wa kiwango cha lami.
Mnataka mpandishe timu yenu kisiasa ikifika ligi kuu inakuwa haina misingi yeyote linakuwa li timu la wahuni linakuja kubugizwa migoli ya aibu na utopolo.
 
Mwenye nacho, uombwa ndugu na kutoa ni moyo sio wote wanaroho ya kutu kama yako.

Wewe unazani bila michango ya wadau Simba na Yanga zinge fika hapo zilipo.

Mnazipa sana airtime pussy ndio maan hatutoboi..
 
Back
Top Bottom