Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM haitoboi

Wewe bado uko kwenye KUSIKIASIKIA!!!??? Na ndio maana mnafelishwa na habari za udaku hizo

Wenzenu hawafanyii kazi habari za kusikiasikia, wanafanyia kazi habari kamili zenye uthibitisho wa kisayansi
Hahaaa mkuu mnatembea na MALORI ya mizigo na matrekta ya mpunga! Hahaaa walionekana wanafunzi wa shule za misingi CCM KIRUMBA wakishuka kwenye mabasi.
 
Mkuu Jimbo la Hai na Moshi mjini Imani za watu zenyewe zinajulikana unaweza kusomba watu kwenye MALORI ila huwezi somba imani zao

Haya maisha yalivyokuwa magumu hivi kwa sababu ya mtu mmoja kuamuwa kutoshirikisha sector binafsi kwenye miradi ya maendeleo na watu kuishi kwa mlo mmoja sioni ni kwa jinsi gani majimbo ya mijini CCM watashinda labda kwa kuiba kura lakini mtanzania mwenye akili timam hawezi kuwapigia kura CCM na wao wanafahamu kuwa bila wasanii wasingempata mtu kwenye kampeni zao washukuru hayo majimbo waliyopewa na NEC ingekuwa aibu kubwa sana kwa chama tawala.
 
Hahaaa mkuu mnatembea na MALORI ya mizigo na matrekta ya mpunga! Hahaaa walionekana wanafunzi wa shule za misingi CCM KIRUMBA wakishuka kwenye mabasi
Kutembea na MALORI kama hivi eee, Chadema mna uzushi sana
 
NI JUKUMU LA WATANZANIA KUWAFUNDISHA NAMNA YA KUTUONGOZA! WANATUDHARAU SANA

MIKAKATI YA UWEZESHAJI HAIPO KABISAAAA FEDHA HAKUNA UKIULIZA ETI MLIKUA WAPIGA DILI HIVI MIMI MLALAHOI NAPIGA DILI GANI LA KUIIBIA SERIKALI
 
Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi??
Nawashauri watoke huku jf wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi
Asilimia kubwa digital propaganda zinawatia upofu sana
 
Reactions: nao
Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Makamanda kwa kujipa moyo hawajambo...ila ukweli wanao
 
Kigamboni
Geita
Chato
Ilemela
Nyamagana
Shinyanga mjini
Mheza
Korogwe
Yataendaaaa
 
Jimbo la mwana FA kuna mdada m Chadema machachari sana. Muheza huko. Mwanaa FA kazi anayo hachomoki.
 
Nashukuru umekiri kushindwa kuwa unawaza majimbo 28 Tanzania ina majimbo 264 kwa mantiki yako hata kura za uraisi zitaranda randa kwenye hayo majimbo tu na kwa tafsiri rahisi tu Lisu keshashindwa uraisi tayari na aichukulie assessment yako serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…