Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 356
- 418
- Thread starter
-
- #41
Hahaaaaa mkuu TUNZA kumbukumbu WATANZANIA wa sasa si wale wa enzi za ujimahakikisha hauna presha baada ya october
Ikifika TAREHE 1 OKTOBA ntakuja na Tathmini awamu ya pili na mna bahati MMEKATA WAGOMBEANashukuru umekiri kushindwa kuwa unawaza majimbo 28 Tanzania ina majimbo 264 kwa mantiki yako hata kura za uraisi zitaranda randa kwenye hayo majimbo tu na kwa tafsiri rahisi tu Lisu keshashindwa uraisi tayari na aichukulie assessment yako serious
Hiyo mioyo ilishakufa safari ni mwendo wa kaka kawa mzee anaandaliwa send off Oktoba.Hai kwenye Nini mkuu Ole sabaya anajisumbua Mbowe katunzwa mioyoni mwa wana Hai
Muheza kuna binti kifaa hatari mno paleWakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

katika majimbo 270,unamaanisha upinzania utapata majimbo 28!Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Mbona na wewe unasemea humuhumu JF what is the difference.Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Umeongea kujifuragisha tu mkubwa 98% yatakuwa CCM baada ya tarehe 28/10/2020.Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Hahaa hahahaha Nimecheka sana yaani vijana wa CDM mnajua kujifariji .Kigamboni
Geita
Chato
Ilemela
Nyamagana
Shinyanga mjini
Mheza
Korogwe
Yataendaaaa