Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM haitoboi

Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM haitoboi

Nashukuru umekiri kushindwa kuwa unawaza majimbo 28 Tanzania ina majimbo 264 kwa mantiki yako hata kura za uraisi zitaranda randa kwenye hayo majimbo tu na kwa tafsiri rahisi tu Lisu keshashindwa uraisi tayari na aichukulie assessment yako serious
Ikifika TAREHE 1 OKTOBA ntakuja na Tathmini awamu ya pili na mna bahati MMEKATA WAGOMBEA
 
Huu mwaka wapinzani watayaona maajabu save this Comment.
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Muheza kuna binti kifaa hatari mno pale
 
Sijui, ila mwaka huu CCM Itashinda vitu vingi, rafu zinaweza kutumika pia. Hakuna box la kura litasaidia vyama pinzani
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA

Sijaiona MUHEZA sijaiona MWanga
 
Mkuu hebu twende na upande wa pili sasa utwambie majimbo ambayo CDM hawatoboi
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
katika majimbo 270,unamaanisha upinzania utapata majimbo 28!
Asante sana kwa uchambuzi makini
Uzuri mnajua sana kwamba mtapata kipigo cha mbwa koko,lakini mnakufa na tai,huyo lissu atakwendaje ikulu na wabunge 28?
 
Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Mbona na wewe unasemea humuhumu JF what is the difference.

Hawa hapa nao wako ndani ya jf?

39074EED-8BB1-454E-ADD0-D898D33073DB.jpeg
 
Ok tutajie majimbo ambayo chadema haitoboi...
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Umeongea kujifuragisha tu mkubwa 98% yatakuwa CCM baada ya tarehe 28/10/2020.
 
Kigamboni
Geita
Chato
Ilemela
Nyamagana
Shinyanga mjini
Mheza
Korogwe
Yataendaaaa
Hahaa hahahaha Nimecheka sana yaani vijana wa CDM mnajua kujifariji .

Huko chato mgombea wenu ameshindwa hata kufanya kampeni kila siku unamkuta yuko pale kibandani kwake, ukimuuliza vipi mbona hufanyi kampeni anakwambia mimi nimewekwa ili Mgombea wa CCM asipite bila kupingwa? Hahaa
 
Back
Top Bottom