Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM haitoboi

Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Tunza hi post yako usikimbie jukwaani. Hapo ukipata mawili tu mmeshinda. Chadema mna akili za kuku Kama mnaamini haya maoni.
 
Kutembea na MALORI kama hivi eee, Chadema mna uzushi sanaView attachment 1568113
Mama D: Acha kuhangaika na pawa chilonda huyo ni mmawia Ana I'd nyingi humu kuongeza mashabiki wa Lissu. Yuko na mpambe wa Lissu anaitwa ..... Erythrocyte nimemgundua Leo nitawaumbua hivi karibuni ni ndumilakuwili Hawa wachumia tumbo.
 
Kumbe wana ndimi mbili hawa. Wacha niwapuuze kabisa maana hata hawana madhara
 
Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Mkuu, wacha kukariri. Bila wizi ccm hawatoboi
 
Sikieni MATAGA asisombe watu ili tupate Tathmini ya kweli maana anatuchanganya nasikia anasafiri na babasi 70 MALORI 120 hivi Ni kweli mkuu au mauongo uongo V8 60
Ha ha ha.. ili kuhakikisha kuna wasikilizaji wa hotuba zake!
 
Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Maisha yao yako humu, ndiyo maana cropping za picha za mikutano zinafanyika humu humu pia.

Mtu pekee aliyeitingisha Ccm ni Lowassa tu. Lissu mwepesi Sana.
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Ongeza Simanjiro, Ole Sendeka hata kwa daqa hatoboi!!
 
Dar vipi?
Au ndiyo kukata tamaa!
Hayo majimbo yote uliyotaja CCM saa 7 mchana watakuwa wameshaanza sherehe za ushindi!
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Ndoto za kuandika kama kupiga punyeto ukivuta hisia ruksa lakini sio kweli kuwa unaemvutia hisia ni yeye kumbe mkono.

Sasa subiri baada ya tarehe 28 hata robo ya hao uliowataja hawapiti na ndipo utajua punyeto sio deal
 
Maisha yao yako humu, ndiyo maana cropping za picha za mikutano zinafanyika humu humu pia.

Mtu pekee aliyeitingisha Ccm ni Lowassa tu. Lissu mwepesi Sana.
Ukweli mtupu. Lissu hana lake
 
Mtoa mada acha uboya, dada wa taifa pale muheza umemuacha wapi?[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom