Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM haitoboi

Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Baada ya uchaguzi utakuja tu lugha nyingine kwamba mmeibiwa,hua mna maneno ya kujifariji na hayasaidii
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Nanyamba yule jamaa anashinda ila kwa majimbo haya huku Mtwara CCM wajitahidi kweli kuiba kura.

1. Tandahimba wale jamaa wana hasira sana na Khatani ambaye aliunga juhudi.
2. Mtwara Vijijini, mama Ghasia ana hali ngumu sana mpaka wale 'chawa' wake hawamtaki tena.
3. Mtwara Mjini hili jimbo lipo 50/50, yeyote anaweza kuchukua.
4. Newala, mzee Mkuchika mwaka 2015 alisaidiwa sana na polisi ila safari hii hatoboi kwa Chilindima.
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Majimbo hayo yote 80%,yameshatepeta.Tunasubiri kuvuna 0ct kwa kishindo, maana hakuna mwananchi atakaye kubali kuweka gunzi katika ya betri.
 
Wewe umesikia wapi? Mkiguswa dodoma mjini ndio hamtoamini
 
Sijaona najimbo ya kagera. Hebu fanya kurudia research yako vizur.
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Subiri show utabiri hapa sio mahali pake
 
Nashauri mgombea wa CCM ajitoe kwenye Uchaguzi sababu hatashinda, Matokeo yake NEC itambeba hatua itakayozua mtafaruku katika Taifa.
 
Mtacheka vizuri hio tarehe 28 oct wakati Taifa zima litaposimama kumuapisha Mwanasheria maarufu afrika ya mashariki na kati na rais waJMT Mh Tundu lissu.
Hahaha Kwahiyo unasema lissu ni raiis[emoji1][emoji1]
 
yaani wewe jamaa ni zerobrainkabisa. Hhii picha ndio imekuw karata yenu. Inasambaa kila uzi hapa jf. Ukiiangalia kwa umakini waliovaa nguo zenye alama za chadema ni watatu tu.

Hii inaonyesha mnajaribu kujifariji kwamba chadema nao walibeba watu kwenye malori kama nyie. Ukweli utabaki palepale, kwamba Chadema ni zaidi ya uanachama na kuwa na sare za chama. Ukiangalia mikutano yetu watu waliovaa sare za chama ni wachache sana. Kwa hiyo kaa ukijua nyie na sisi ni tofauti ya mbigu na aedhi.

Ngiri maji wewe.
 
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Kwa tathmini hii umejidhalilisha, Tanga nani wakumpiku ummy Mwalimu!?, Tanga hakuna upinzani kabisa hao washindani.
 
[SUB]Kawe [/SUB]
[SUB]mrembo haachwi salama na H.mdee[/SUB]
 
Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Kwani kwenye mikutano uwaoni ? haohao wanaokuja kwenye mikutano ya Tundu Lissu ndio wako hapa JF, kama utaona idadi inatofautina nijulishe.
 
Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Mama D kumbuka miaka mitano yote hii watu walikuwa hawaongelei siasa za upinzani mitaani wala kwenye vyombo vya habari ambavyo platforms zao ziko wazi kwa hofu iliyokuwa imewajaa watanzania kwa matukio yaliyokuwa yakitokea.
Nashindwa kuwaelewa mnaokandia watu wanaoongea siasa za upinzani JF na misukosuko iliyoipata ili Identifications za watu wa humu zijulikane. Kudhihirishakuwa siasa za upinzani bado zina nguvu nchini ni jinsi watu wanavyojiachia sasa kuongelea mambo mbalimbali hanayohusu mustakabali wa nchi yetu na wanavyojaa katika mikutano ya kisiasa ya vyama pinzani.
Najua ukada upo, na ukweli huongelewa ingawa siasa ni full of propaganda kumdidimiza mpinzani wako hata kwa uwongo mwingi ili upate kura. Kusema kwamba siasa za upinzani hapa JF tu nakukatalia mama D na hiyo si hoja ya kuwaaminisha wanajf kuwa huko mtaani hakuna watu wenye mlengo tofauti na wa CCM zaidi ya hapa JF kwa uchache wao.
 
Back
Top Bottom